Na ile harufu ya mpunga porini utotoni tulisema ni ya nyoka.Kuna ukweli hapo bandugu?
unajua hizo hadithi mara nyingi hazina majibu, ngoja tusubiri!!
Akila mtuu ashibi so anakuwa anavuta mdaaa apate mwingine au chakuongezea katika mlo wake but uzito wa ng'ombe na binadamu tofaut akila ng'ombe anashiba haraka coz ni mkubwa na kilo zake ni nyingi kuliko za binadamu
fisi mroho kupindukia, kwa huku tulipo vilabu vya pombe vipo mbali kidogo, ukiwa unarudi umelewa wanakufuata nyuma wakiamini mikono ya mlevi itadondoka wakati wowote wafaidi nyama, wanakufuata wakiwa wanacheka kwa furaha mno. Sasa ikitokea mlevi kafika kwake salama hawa jamaa wanazunguka nyumba wakikuta hata kinu wanabeba.duh hii kali.hadi kinu anakula
On top of that, mbona nilisikia nyani na nyangumi huwa wanasex for funny?
Kuna chambuzi moja niliona inasema ukiondoa binadamu ni samaki aina ya dolphin tu anaefanya sex kama starehe
Mkuu Simba Akila Binadam Hata Akiwa Porin/hifadhin Ataacha Kuwinda Wanyama Wengne Na Atakomaa Kuwinda Binadam Tu Ishara Ya Kuwa Anatambua Radha Ya Chakula Na Binadam Ni Mtam Kuliko Wengne..Hata Chati Ukiweka Mbuz Na Mbwa Ataamla Mbwa Kwanza Hii Inaonyesha Kwa Chatu Mbwa Ni Mtam Kuliko Mbuz Hvi Nahitimisha Kwa Kusema Wanatambua Radha Ya Wanachokula.Akila mtuu ashibi so anakuwa anavuta mdaaa apate mwingine au chakuongezea katika mlo wake but uzito wa ng'ombe na binadamu tofaut akila ng'ombe anashiba haraka coz ni mkubwa na kilo zake ni nyingi kuliko za binadamu
Sawa kabisa, jawabu sahihi Biologically,
Ngoja nikupe jawabu lingine spiritually....
Kitabu cha Mwanzo 2: Huyo nyoka alikuwa ni mnyama Mzuri kuliko wanyama wote Duniani!!
(soma mwenyewe sura yote, ni story ndefu kidogo).....sasa baada ya kulaaniwa na Mwenyezi Mungu, Nyoka akapoteza viungo vyote bora (hadi miguu,anatembea kwa kuburuzika tumbo, this according to revelation) akaambiwa "utakula mavumbi ya nchi ,.. ulimi wake hauna shape ya kula na kusikia ladha, nyongo yake, damu ni baridi na iliyojaa sumu, LAKINI, kaubongp ka mdudu huyu, ni xtra sharp
NB utanisamehe kama nimekosea mada yako