Je Nyerere alishawahi kukutana na Magufuli?

Kabisa. Kwamba Mungu hawezi kukupatia vyote...mfano Lowassa kukkosa urais licha ya kuwekeza mabilioni, funzo la pili ni kwamba Mungu humuinua mwenye haki, mfano Magufuli
kweli Mungu huyohuyo huwaweka madarakani viongozi wa jeuri kama Magufuli ilikuonyesha na kudhihirisha utukufuwake refer Daniel na mfalme Nebukedneza
 
Yani hapa ilitaka kuwa: NYERERE-MWINYI-MKAPA-KIKWETE-LOWASA-MEMBE-??? HIYO NI TANU/CCM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…