Habari wakuu,natumaini mko poa..
Nina ishu ktk kumalizia kibanda changu, nahitaji frame za milango na milango/top kwa ajili ya milango ya nje miwili mkubwa (double) na mdogo wa kawaida.
Kwa wataalam naomba ushauri
1. Ni mbao zipi zinafaa kwa ajili ya frame na zipi kwa ajili ya milango/top?
2. Je ipi bajeti/bei yake ili nijiandae financially kwa ajili ya hiyo milango miwili mpaka ikamilike.
Kumbuka nina kiasi cha kuunga unga kwa ajili ya hii kazi ili ikamilike nihamie kwangu.
kwa ufupi nahitaji frame na milango mizuri japo iwe na kiwango cha kuridhisha.