Je! nitawezaje kupata 3g network eneo lenye 2g ?

STERLING2014

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
239
Reaction score
75
Wadau nashukuru kwa mara nyingine tena kuja katika jukwaa hili nikiamini kuwa kina wataalaam wa tecnojia ya mawasiliano wakiendelea kuakikisha binadamu hatupati shida kwa mahitaji yetu ya kila siku.

Nikiamini hivo kuna kitu nahisi kinawezekana kwa ni kinahitaji uchunguzi na majaribio ya kisayansi zaidi. Hivyo naomba msaada weni namna tunavyoweza kurahisisha mawasiliano kwa kutumia speed ya 3g tunapokuwa tupo katoka maeneo yenye 3g

thnx
 
Embu tafakari hili:
Wewe una chupa ya lita tatu..afu umepewa maji lita moja na nusu uweke kwenye chupa yako..na ndo maji pekee yaliyopo mda huo..sasa wewe unaendelea kulazimisha hayo maji lita moja na nusu yajae kwenye chupa yako ya lita tatu!!!

Kwa kifupi ni kuwa kama eneo lina 2G basi ndo kama hivyo kuwa hao watu uwezo wao ni kukupa lita moja na nusu tu na wewe simu yako inauwezo wa 3G yaani lita tatu..so hata ufanyaje still utabaki na hiyo lita moja na nusu tu..sababu hicho ndo unachopewa mda huo...

ILA kama ni eneo lina 3G na simu yako ina 3G na huipati then ndo inakuwa ishu ya settings kwenye simu yako na unaweza kuipata hiyo 3G.
 
Wadau nashukuru kwa mara nyingine tena kuja katika jukwaa hili nikiamini kuwa kina wataalaam wa tecnojia ya mawasiliano wakiendelea kuakikisha binadamu hatupati shida kwa mahitaji yetu ya kila siku.

Nikiamini hivo kuna kitu nahisi kinawezekana kwa ni kinahitaji uchunguzi na majaribio ya kisayansi zaidi. Hivyo naomba msaada weni namna tunavyoweza kurahisisha mawasiliano kwa kutumia speed ya 3g tunapokuwa tupo katoka maeneo yenye 3g

thnx

Nadhani ulikuwa unamaanisha 2G hapo kwenye red. Haiwezekani kama mdau alivyoelezea hapo. Maana yake minara ya simu ya hiyo kampuni yako kwenye hilo eneo haina uwezo wa 3G hivyo haiwezekani ukapata 3G.
 
THNX wadau kwa kuendelea kijibu swali langu. me nimejitaidi kugoogle nikaona kwamba inawezekana kwa kuandika nenoa ACT 3G kwenye uwanja wa sms na kutuma kwenda 144. kwa upande wangu imekataa inawezekana imekataa kwa kua natumia tecno. naomba wadau wenye aina nyingine za cm na mpo kwenye net za 2g jaribuni arafu mlete feedback hapa. thnx
 
kila MTU anaweza kugoogle ila kugoogle relevant answers ndio ishu. wewe umeona how to activate 3g basi ukatoka nduki kuwa inawezekana. kwanza icho ulichopata ni kuactivate kwa mtandao wa Vodafone India sasa wewe unaleta hapa. pili

ni rahisi kupata maji kutoka kwenye maziwa kuliko kupata maziwa kwenye maji... umeelewa?
 
attachment.php
 
lkn wadau me najubaliana nanyi lkn kama hauwezekani inakuaje jamaa yangu anacm ya vodafone vf685 lkn anaweza kuaccess net ya 3g ktk eneo lenye 3g. tupien apa tueleweshane imewezekanaje.
 
Kama ni ofice ipo kwenye eneo lenye 2g wanataka internet yenye kasi unafunga satellite dish,yaan unatumia VSAT.
 
lkn wadau me najubaliana nanyi lkn kama hauwezekani inakuaje jamaa yangu anacm ya vodafone vf685 lkn anaweza kuaccess net ya 3g ktk eneo lenye 3g. tupien apa tueleweshane imewezekanaje.
Hiyo inategemea na mitandao ya simu,kuna baadhi ya sehemu voda wa 3g wakati tigo wana 2g japo ni sehemu moja.

Hivyo inaenda inatofautiana japo sehemu zingine wanaweza kuwa sawa.
 
wadau me nazungumzia mtandao wa vodacom kwa jamaa huyo mwenye kutumia vf685 inaweka RH kwenye notification ya internet. na speed yake inakuwa kubwa kufkia had500kb/s
 
Vipi kuhusu roaming ktk maeneo ya 2g inaleta speed gani wataalam?
 
ahaa tushapata pakuanzzia.....
1. huyo jamaa yupo wapi......?

2. kama yupo hapa happa.....hrbbu akupe nnjia utupe na sissi
 
Back
Top Bottom