Mbona Unaweza Kusoma Kwa Asilimia 100% bro..Wadau et kwa matokeo haya naweza kusoma PCB phy-D Bios-C Chem-C histor-C Geog-D kiswhl-C Math-D english-C Cvcs-D na chaguo la kwanza ilikuwa PCB
Pessimistic thoughts!Kwa ufaulu huo mi nakushauri achana na pcb labda jaribu cbg, physics ya advanced level ni hatari sana . Wenzako tulikomaa na pcb lakini chuo tunasoma kozi moja na cbg . Physics inaua ndoto za watu wengi
Unachaguliwa bila wasisi vuta subiranlianza bt kuna wadau wakasema et hawawezi kukuchagua coz ya D ya phyz na serikali hii et wanasema watanipeleka HKL wakat siipendi hata kdogo na sikuichagua hata.
Sikushauri kabsa hiyo comb. Mziki wa physc sio lelemama kama O level umepata D advnc si unaweza ukazingua you better take HKL, ambayo ime balance vzr.Wadau et kwa matokeo haya naweza kusoma PCB phy-D Bios-C Chem-C histor-C Geog-D kiswhl-C Math-D english-C Cvcs-D na chaguo la kwanza ilikuwa PCB
NdioNaweza soma PCB nikiwa na DCC kwa adv??
Labda zamani siku hizi watoto wanafaulu physics sana, tena wengi ni wale vilaza.Kwa ufaulu huo mi nakushauri achana na pcb labda jaribu cbg, physics ya advanced level ni hatari sana . Wenzako tulikomaa na pcb lakini chuo tunasoma kozi moja na cbg . Physics inaua ndoto za watu wengi
Private unasoma bila shida ila kayumba upate bahati sanaNaweza soma PCB nikiwa na DCC kwa adv??