Je, Nitaweza kusoma PCB?

Je, Nitaweza kusoma PCB?

vanadium

Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
10
Reaction score
1
Wadau et kwa matokeo haya naweza kusoma PCB phy-D Bios-C Chem-C histor-C Geog-D kiswhl-C Math-D english-C Cvcs-D na chaguo la kwanza ilikuwa PCB
 
Na tunavyo ambiwa c vilaza wenye division 23
 
Wadau et kwa matokeo haya naweza kusoma PCB phy-D Bios-C Chem-C histor-C Geog-D kiswhl-C Math-D english-C Cvcs-D na chaguo la kwanza ilikuwa PCB
Mbona Unaweza Kusoma Kwa Asilimia 100% bro..
Anza Kujipanga Ukapige Kazi.
 
labda private lakin kwa shule za serikali unahitaji uwe na C tatu ili comb iwe imebalance
 
Kwa ufaulu huo mi nakushauri achana na pcb labda jaribu cbg, physics ya advanced level ni hatari sana . Wenzako tulikomaa na pcb lakini chuo tunasoma kozi moja na cbg . Physics inaua ndoto za watu wengi
 
ww kama uko vzur mwanah kapigee tu..ila kikbwaah piga pindi la ktaa advnc hawafundxh
 
nlianza bt kuna wadau wakasema et hawawezi kukuchagua coz ya D ya phyz na serikali hii et wanasema watanipeleka HKL wakat siipendi hata kdogo na sikuichagua hata.
 
Kwa ufaulu huo mi nakushauri achana na pcb labda jaribu cbg, physics ya advanced level ni hatari sana . Wenzako tulikomaa na pcb lakini chuo tunasoma kozi moja na cbg . Physics inaua ndoto za watu wengi
Pessimistic thoughts!
 
nlianza bt kuna wadau wakasema et hawawezi kukuchagua coz ya D ya phyz na serikali hii et wanasema watanipeleka HKL wakat siipendi hata kdogo na sikuichagua hata.
Unachaguliwa bila wasisi vuta subira
 
Wadau et kwa matokeo haya naweza kusoma PCB phy-D Bios-C Chem-C histor-C Geog-D kiswhl-C Math-D english-C Cvcs-D na chaguo la kwanza ilikuwa PCB
Sikushauri kabsa hiyo comb. Mziki wa physc sio lelemama kama O level umepata D advnc si unaweza ukazingua you better take HKL, ambayo ime balance vzr.
 
PCB isikie kwa watu tu, ila mzki wake utakuchezea instead ya ww kuucheza, kaka kwa matokeo hayo itakushinda jarbu combination nyngne...
 
Duh kwa hapo labda pvate na unatakiwa tafta xcul nzuri sana na upge pindi la kufa m2 bila hvyo utaenda poteza mda
 
Kwa ufaulu huo mi nakushauri achana na pcb labda jaribu cbg, physics ya advanced level ni hatari sana . Wenzako tulikomaa na pcb lakini chuo tunasoma kozi moja na cbg . Physics inaua ndoto za watu wengi
Labda zamani siku hizi watoto wanafaulu physics sana, tena wengi ni wale vilaza.
 
Back
Top Bottom