Salaam wakua nauliza, ikitokea umejiunga open baada ya muda kabla ya kuanza masomo ukaomba kuahirisha kidogo, je ukitaka kuendelea sasa una haja ya kujisajili tena,? Au unawaarifu tu unaendelea?
Mwenye uzoefu a nijue.

Inategemea umepita muda gani toka ulipokua admitted kwa mara ya kwanza na ni undergraduate au postgraduate.
Kwa undergraduate baada ya miaka 6 registration number inakua invalid na kwa postgraduate baada ya miaka mi 3 registratio number inakua invalid