Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,265
ni kweli vyuo vya private vina watu wachache labda,ila inategemea na fani gani wanayo hapo tulikuwa tunajaribu kuangalia fani ya utabibu kwa shahada ya kwanza kiujumlamkuu mbona mwaka jana walitoa hadi awamu 3 za kuapply vyuo, labda mdogo wako alikua anachagua vyuo na kozi ambazo zilikuwa na competition kubwa , kuna vyuo vingi tu vya private havina watu kabisa na hii imechangia watu kuappl chuo kimoja au viwili kisa wana point nying huku wakisahau vyuo vingne kama reserve
mkuu alikosa vyuo vya afya serikaliPCB upate 1 ukose chuo? Acha chai za mchana
Nimekuelewa mkuu,hivi kuna courses za engineer ambazo pcb anaruhusiwa kuzisoma??Inachukua miaka 5 kupata degree ya udakitari halafu unafuata mwaka wa internship ndio uweze kusajiliwa kama dakitari wa kutoa huduma anae jisimamia. Specialisation zipo nyingi tu nchini Tanzania labda kama unayotaka haipatikani ndiyo itabidi uende nje. Wengi wanao specialize wako ndani ya ajira na huchukua kati ya miaka 2-3 level ya masters. Miaka 5 ndiyo kawaida ya MD na ile ya tiba wanyama BVM ya SUA, hii isikukatishe tama ni mwaka mmoja tu zaidi ya degree za Enguneering (4 years).
Na nimeambiwa huko tunakoelekea kutakuwa na ma MD wengi sana maana kila mtu sasa hivi anasoma vitu hivyo.Inachukua miaka 5 kupata degree ya udakitari halafu unafuata mwaka wa internship ndio uweze kusajiliwa kama dakitari wa kutoa huduma anae jisimamia. Specialisation zipo nyingi tu nchini Tanzania labda kama unayotaka haipatikani ndiyo itabidi uende nje. Wengi wanao specialize wako ndani ya ajira na huchukua kati ya miaka 2-3 level ya masters. Miaka 5 ndiyo kawaida ya MD na ile ya tiba wanyama BVM ya SUA, hii isikukatishe tama ni mwaka mmoja tu zaidi ya degree za Enguneering (4 years).
Soma PCB hutohangaika kupata kaziHabari zenu, nimeanza kusoma baadhi ya topic za bios kama cytology, biochemistry na respiration, but napenda pia masuala ya umeme, je niendelee na hii Pcb au nichukue Pcm?
Sina ujuzi sana upande huo lakini hawa jamaa hutanguliza MATHEMATICS hivyo kwa Degree za Engineering sidhani. Unaweza pia ukapitia TCU Admission Guide ya 2017/18 uangalie kila chuo huweka program zao na mahitaji yao.Nimekuelewa mkuu,hivi kuna courses za engineer ambazo pcb anaruhusiwa kuzisoma??
Hii isikutishe ukiwa competitive utafanikiwa tu. Nchi ina upungufu mkubwa wa madakitari ukiacha kushindwa kwetu kujipanga vizuri.Na nimeambiwa huko tunakoelekea kutakuwa na ma MD wengi sana maana kila mtu sasa hivi anasoma vitu hivyo.
Ukisoma PCB kuna course nyingi tu za kusoma achia mbali MD zipo nyengine kama Medical Lab, Pharmacy, Optometry, Physiotherapy, Nurse n.k.Na nimeambiwa huko tunakoelekea kutakuwa na ma MD wengi sana maana kila mtu sasa hivi anasoma vitu hivyo.
weka result slip tukushauri vizuri.Habari zenu, nimeanza kusoma baadhi ya topic za bios kama cytology, biochemistry na respiration, but napenda pia masuala ya umeme, je niendelee na hii Pcb au nichukue Pcm?
No mkuu, mtu asomee alichonacho uwezo na si kuingiza ya kupenda au yenye future wakati uwezo huna.Wewe tu, inategemeana na muono(VISION) yako.
Engineering inalipa kama utajishughurisha.
U-docta na Ufamasia unalipa kama utajishughurisha.
Kila kitu, kwenye maisha ni lazima ujishughurishe.
nakushauri soma PCM, PCB itakusumbua,,, halafu uje uchukue PHARMACY ndugu, kamwe hutajutia.
Hapana mkuu waliokosa vyuo mwaka jana ni kwa sababu ya mfumo wa udahili ulikuwa na changamoto mf. Kuna watu walipata allocation bila chuo na mda ukaisha.. Sayansi daraja la kwanza na lapili Tanzania bado hatujafikia hatua ya hawa jamaa kukosa chuo kisa enrollment imeincrease zungumzia kitu kinginemwaka jana kuna wanafunzi wamemaliza form six hasa mchepuo wa PCB wana daraja la kwanza (division one) na daraja la pili (division) na ni wengi sio nakutajia idadi ya watu mia la hasha ni wengi na bado wakakosa vyuoo mpaka mdogo ana daraja la pili lakini yupo nyumbani anangojea mwaka huu apply chuo
kwahiyo wewe soma tuu hamna cha kupata ajira haraka wala nini ukifika wakati wako utajua kwenda na mazingira na kama matabibu wapo wanaohitimu na bado wapo mtaani
Toa ushauri mzuri wewe ni msomi acha ushabikiEngineer mlioopo mmefanya nini cha Maana? karibu PCB, Karibu MD Mdogo wangu