Je! Nisamehe?

we bundi,tena utakua bundi wa jengo la wapiga makofi.

Kama umesex nae for the first time inamaana uhusiano wenu ndo unaanza,sasa tambua kabla we hujawa nae wenzako walikuwa wanakula,so kosa lake kwako lipi?
 
Baadhi ya wavulana mnao leta mada mnatia aibu hivi hilo nalo ni la kuomba ushauri, Utaweza kweli wewe kuhimili changamoto katika ndoa. Ushauri wangu kwako kaa nae uzungumze nae akwambie mko wangapi? Kisha mkapime na ukimwi.
 
Poa kaka,ila kinachonifanya niwaze ni uwiano wa miaka na ugonjwa coz kipindi hicho alikuwa na miaka 19 tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya wavulana mnao leta mada mnatia aibu hivi hilo nalo ni la kuomba ushauri, Utaweza kweli wewe kuhimili changamoto katika ndoa. Ushauri wangu kwako kaa nae uzungumze nae akwambie mko wangapi? Kisha mkapime na ukimwi.
Ukimwi tumeshapima mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ikiwa shida ni gono na ametibiwa skapona shida nini tena? Oa mkuu.

Vipi ikiwa asingeugua gono si ungeona poa na kuendelea na process!!! Oa bhana achana na vijisababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…