Je, nipo sawa au nahitaji psychological counseling?

Mr Kactus

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
510
Reaction score
2,971
Nahisi nina matatizo au sielewi ni mgeni sana wa haya mambo. Iko hivi, mwanamke nikimsaundisha ikizidi wiki mbili sioni muelekeo namkaushia.

Mimi ni wale wanaume ninaeamini katika "love at first sight". Yani ninakua na upendo mwingi sana kwa mwanamke anaenikubali mapema. Ule wimbo wa fid q sijui usinikubali haraka naonaga hau-apply ktk feelings zangu.

Kwanza mwanamke nikiona ananizungusha zungusha hua nahisi hajanipenda mimi kama mimi, Yani muonekano wangu haujamvutia kuniweka ktk hisia zake. Hua naona kunizungusha zungusha anajipa mda wa kunifanya niongeze vitu vya ziada tofauti na mm nilivyo naturally ili niweze kumvutia kwa mfano nianze kumuhonga vijisenti, au nibadili mfumo wangu wa maisha uendane na anavyotaka yeye na mwisho wa siku aje kunipenda kwa vitu ambavyo vikija kuisha na yeye upendo utaisha au ntajikuta naishi maisha ya kuigiza tofauti na mm nilivyo ili nimridhishe yeye tu.

Sijui imekaaje hii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah
Yaani mkuu upo kama mimi, siwezagi kubembeleza dem, nikimwambia nakupenda akaleta habari ambazo sizielewi huwa naacha kumfuatilia.
Ni mwendo wa straight...
Nimekupenda hutaki songa mbele[emoji2210]
Tatizo wengi wameaminishwa ukitaka mapenzi ya kweli mzungushe zungushe kwanza mwanaume. Na wapo wanaume wenzetu wengi wanaamini mwanamke akikukubalia haraka ni malaya wkt huenda feelings zake na zako zina match mtoto akaamua akupe jibu haraka mambo mengine yaende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi nina matatizo au sielewi ni mgeni sana wa haya mambo. Iko hivi, mwanamke nikimsaundisha ikizidi wiki mbili sioni muelekeo namkaushia.

Mimi ni wale wanaume ninaeamini katika "love at first sight". Yani ninakua na upendo mwingi sana kwa mwanamke anaenikubali mapema. Ule wimbo wa fid q sijui usinikubali haraka naonaga hau-apply ktk feelings zangu.

Kwanza mwanamke nikiona ananizungusha zungusha hua nahisi hajanipenda mimi kama mimi, Yani muonekano wangu haujamvutia kuniweka ktk hisia zake. Hua naona kunizungusha zungusha anajipa mda wa kunifanya niongeze vitu vya ziada tofauti na mm nilivyo naturally ili niweze kumvutia kwa mfano nianze kumuhonga vijisenti, au nibadili mfumo wangu wa maisha uendane na anavyotaka yeye na mwisho wa siku aje kunipenda kwa vitu ambavyo vikija kuisha na yeye upendo utaisha au ntajikuta naishi maisha ya kuigiza tofauti na mm nilivyo ili nimridhishe yeye tu.

Sijui imekaaje hii...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaida ya Introvert,Nina jamaa yangu within week, akuaproach Kama hajaonja kapiga chini..
 
Huyu ndio mwanaume. Nawaheshimu sana wanawake ambao wanakupea mbususu mapema iwezekanavyo. Hawa ndio wakuwapeleka dubai.
 
Back
Top Bottom