uhusiano kudumu mengi yanahusika,
1.Kuwa na lengo moja kwenye hayo mahusiano yenu Mfano huyu anataka mahusiano yenye furaha na yule hivyo hivyo hapo mtadumu sio huyu anataka mahusiano yenye furaha huyu anataka mahusiano ili watu wajue na yeyyuko kwenye mahusiano labda na mtu handsome au pisi kali,hapo hata muwe mmejuana miaka nenda rudi au mmejuana jana tu hakuna mahusiano ya kudumu hapo
2.Kila mmoja kuplay part yakekatika mahusiano lakini mahusiano yakiwa ni mmoja tu ndio ana role kubwa ya kuyatunza hapo hata muwe mmejuana lini hakuna mahusiano ya kudumu hapo maanake yule mmoja kuna wakati atachoka tu na kugive up
3.Sifa nzuri na za muhimu katika mahusiano yoyote yale kama upendo,uvumilivu,kuheshimiana,kujaliana na nyingine nyingi za muhimu Katina kudumisha mahusiano
Hata hivyo kujuana kwa muda mrefu kuna advantage yake,kwmaba unakuwa unajua mengi kumhusus huyo unayeingia naye kwenye mahusiano,madhaifu,mazuri yake n.k na yeye unakuwa unamfahamu vizuri kwa sababu sio rahisi kwa mtu kuficha madhaifu yake kwa muda mrefu sana
Natumai nimekujibu walau kiduchu kiongozi,
sasa kila la kheri katika kufanya maamuzi yako