je ninaweza nikaongeza RAM ya android phone yangu by swapping apps bila kui-root?

Vangiporini

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
328
Reaction score
319
nikicheki naona swapper apps nyingi kama RHEOSOFT RAM expander,yenye uwezo wa kuchukua sehemu katika internal storage ya simu yako na kuiongezea kweny RAM,inahitaji rooted devices....naomba kujua kama kuna app yenye uwezo kama huo na ikafanya kazi hata kweny non rooted devices
 
kaka hata kwenye hizo za root sio safe na simu itakuwa slow sana sababu ram storage yake ina speed sana na mda wote inafanya kazi.

pia kama app inazingua kuna uwezekano ukakosa kipart cha internal memory yako hadi utakapoformat upya
 
nikicheki naona swapper apps nyingi kama RHEOSOFT RAM expander,yenye uwezo wa kuchukua sehemu katika internal storage ya simu yako na kuiongezea kweny RAM,inahitaji rooted devices....naomba kujua kama kuna app yenye uwezo kama huo na ikafanya kazi hata kweny non rooted devices
hv hii ki2 inawezekana kwel.??
mi cjawai ona,
 
kaka hata kwenye hizo za root sio safe na simu itakuwa slow sana sababu ram storage yake ina speed sana na mda wote inafanya kazi. pia kama app inazingua kuna uwezekano ukakosa kipart cha internal memory yako hadi utakapoformat upya
sawa kaka kwahiyo yawezekana improvements zikawa tofauti na mategemeo
 
hv hii ki2 inawezekana kwel.??mi cjawai ona,
yaa inawezekana kaka japo sijui improvements zake ni kwa kiasi gani maana sijawahi kumuona mtu aliyejaribu hii kitu.Just google hii kitu utapata details zaidi
 
sawa kaka kwahiyo yawezekana improvements zikawa tofauti na mategemeo

nimeshazitumia ni useless, ingekuwa unaweza eka flash storage (internal memory za simu) basi kila simu ingekuja na ram 4gb sababu hizi storage za 4gb ni bei rahisi.
 
Kumbe ndomaana ngoja niifute roefrost swapit ram expander niliwek swap file la 1.5GB ili simu iwe na 2GB total lakini ndo inastack balaaa...
Naifuta sasa hivi.
 
nadhani zote zitakua tatizo ilo ilo manake chief anasema ni useless since zina run all the time,so sidhani kama hiyo rheosoft ndo itakua na uwezo zaidi
 
Nishafuta tayari na nishatumia zote
 
nimeshazitumia ni useless, ingekuwa unaweza eka flash storage (internal memory za simu) basi kila simu ingekuja na ram 4gb sababu hizi storage za 4gb ni bei rahisi.
mkuu je naweza kuongeza internal storage katka rooted tecno p5?
 
kaka huwezi ongeza internal memory ila unaweza tumia memory card kuongeza memory ya simu, pia kuna simu zina otg hivyo unaweza tumia flash disk, external hard drive kuongeza memory ya simu.
 
Greenify inanisaidia kusave ram kwa ku hibernate apps ambazo kwa muda huo situmii. Noroot firewall inanisaidia ku restrict internet hasa pale inapokuwa kuna edge
 
kaka huwezi ongeza internal memory ila unaweza tumia memory card kuongeza memory ya simu, pia kuna simu zina otg hivyo unaweza tumia flash disk, external hard drive kuongeza memory ya simu.
kaka ntaongezaje hiyo internal storage kwa kutmia memory card?
 
Back
Top Bottom