Je Ninaweza Kukufaa katika office yako?.

Emma Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
929
Reaction score
149
Je Ninaweza Kukufaa katika office yako?.
Samahani Kwa usumbufu,
Mimi ni Kijana Mwenye Kujituma kwa bidii yaani mchapa kazi sina Maringo na niko tayari
kwa kufanya kazi yeyote ile ambayo itasaidia katika ujenzi wa taifa pamoja na maisha yangu
Kiujumla. Baada ya kumaliza chuo Bsc Economics/finance/ nimeamua Kuhangaika na pilikapilika nyingi
za kutafuta kazi kokote Tanzania.

Abilities:
*Good Driving skills
*Commanding communicating skillz
*Computer literate computer maintenance skillz
*Sharp and Intelligent (FYM I am intelligent).

Hivyo basi,
Ndugu yangu, kaka, Dada Baba Mama kama kuna Aina yoyote ile ambayo unaweza nisaidia either
Moja kwa moja au Kunikutanisha na wadau wa Mji huu ili niweze kupata angalau pa kuanzia Ningeshukuru
Sana.

NB: Mshahara sio ishu sana nachojali ni Kupiga kazi coz nipo tayari hata ku-volunteer (Nauli muhimu).
Source: Imma.
kazikijana1@gmail.com

​
 
Una morale, safi sana.
Watakuja wanaohitaji, ila tu usiwe tapeli
 
hongera sana mkuu kwakuhitimu masomo yako,.

Vijana wenye moyo kama wako Tanzania hii ni wachache sana,.

Sina cha kukusaidia badala ya kusema nakutakia kila la kheri katika mipango yako,.

MUNGU akubariki!!
 
Amina Mkuu kwa mwitikio wako.
 
Una morale, safi sana.
Watakuja wanaohitaji, ila tu usiwe tapeli

Ahsante,
Kuhusu utapeli mimi siwezi kutapeli kwani nina apply kama kazi zingine namanisha kutakua na nakala ya vyeti vyangu vikihitajika.
 
[h=2]Je Ninaweza Kukufaa katika office yako?.[/h]
Samahani Kwa usumbufu,
Mimi ni Kijana Mwenye Kujituma kwa bidii yaani mchapa kazi sina Maringo na niko tayari
kwa kufanya kazi yeyote ile ambayo itasaidia katika ujenzi wa taifa pamoja na maisha yangu
Kiujumla. Baada ya kumaliza chuo Bsc Economics/finance/ nimeamua Kuhangaika na pilikapilika nyingi
za kutafuta kazi kokote Tanzania.

Abilities:
*Good Driving skills
*Commanding communicating skillz
*Computer literate computer maintenance skillz
*Sharp and Intelligent (FYM I am intelligent).

Hivyo basi,
Ndugu yangu, kaka, Dada Baba Mama kama kuna Aina yoyote ile ambayo unaweza nisaidia either
Moja kwa moja au Kunikutanisha na wadau wa Mji huu ili niweze kupata angalau pa kuanzia Ningeshukuru
Sana.

NB: Mshahara sio ishu sana nachojali ni Kupiga kazi coz nipo tayari hata ku-volunteer (Nauli muhimu).
Source: Imma.
kazikijana1@gmail.com
​

We bw mdogo isije kuwa lugha ya kutafutia kaz afu ukishapata mabega yanapanda juu. Next time weka na namba za simu ili iwe rahisi kupatikana kwa haraka maana sio waajiri wote wanamuda wa kupoteza kufungua email.
 
Kweli mkuu namba yangu ni 07
 
We bw mdogo isije kuwa lugha ya kutafutia kaz afu ukishapata mabega yanapanda juu. Next time weka na namba za simu ili iwe rahisi kupatikana kwa haraka maana sio waajiri wote wanamuda wa kupoteza kufungua email.

haya bwana mkubwa
 
Back
Top Bottom