Je, nimuomba msamaha au nikaushe kuonesha ndio ukidume na kufuatilia matendo ya mke wangu?

Ukiwa na hela/pesa/fedha yote yanawezekana kwa kweli

Huwezi kumpangia mwanamke/mpenzi/mke kama huna uwezo wa kumutimizia mahitaji yake sitahiki.

Mkuu mtoa mada nimekusoma vizuri kuwa una uwezo wa kumundu mwanamke kimatunzo[una hela]

Usimwombe musamaha wewe kausha na zidisha mapenzi/mahaba kwake maana tayari umeshajua ukweli
 
Hivi huyo ni mkeo mtarajiwa, binti yako au mtumwa wako? Yaani unamuamuru aende out mahali ambapo eti unaweza kum monitor??!! na bado una mashaka, unamfanyia interrogation (Ulikuwa wapi? na nani? Ulirudi saa ngapi? na usafiri gani? ) , unampiga?? unahangaika na CCTV?! mara mlinzi? Mara uende hospitali kuhakikisha kama kweli mgoni wako amelazwa!!?? Mara ujiulize nimumbe msamaha au nikomae!!?

Are you serious? Yaani huo ndio unaouita uanaume!!!??
Hivi utahangaika na CCTV, simu, mara mlinzi, mara kumtafuta mgoni wako?? utafanya hivi mara ngapi? Mwisho utaanza kuhangaika na hata maderva wa bajaji, boda boda, nk

Wanaokushauri wasikujaze ujinga, wanapaswa pia wakuambie kwamba unasumbuliwa na tatizo la wivu, hujiamini (Insecurity), unajihisi huna uwezo na hutoshi (low self esteem,) kwamba kuna vidume vinaweza kumnyakua mlimbwende muda wowote.

Get a life

Low self-esteem is characterized by a lack of confidence and feeling badly about oneself. People with low self-esteem often feel unlovable, awkward, or incompetent. ... Furthermore, people with low self-esteem are “hypervigilant and hyperalert to signs of rejection, inadequacy, and rebuff,”
Ina maana MKE na MME wote wako JF maana uzi ni ule ule wa jamaa kajibiwa
 
Huyo mwanamke hufai kumua. Endapo utamuona kuna majawapo kati ya haya yanaweza kufanyika:-
1. Kumpiga vibaya na kumjeruhi au zaidi ya hapo.
2. Kujidhuru mwenyewe au kumdhuru third party.
Dont mary someone you can not afford to loose...
 
mkeo kama unampenda usimchunguze kaka utampoteza ila la msingi muombe msamaha umemkosea sana kwa manemo ya kuambiwa
 
Mkuu mkeo akikukosea pia utapenda akuombe samahani. Au utapenda aendeleze kiburi? Umemkosea Mkuu jishushe umuombe samahani.

Habari za asubuhi

Week iliyopita nilisafiri nje ya Mkoa wa DSM, nikamucha mchumba wangu, (Mke mtarajiwa) huko. Weekend akaniomba kwamba anaenda kutembea hivyo ana hamu ya kutoka out, nikasema sawa nikampa mpaka nauli na hela ya kunywa nikamsihi aende maeneo ambayo ingekuwa rahisi kummonita, kupitia vyanzo vyangu mbali mbali.

Akaenda alivyofika tukawasiliana vema, akaanza kunywa, nikamwambia akilewa achukue bajaji aende nyumbani. Akalewa kweli japo si sana akachukua bajaji akaondoka. Nikapewa habari na mwananke fulani kwamba vipi mkeo mbona namuona hapa? We ndio umemruhusu? Nikasema hapana, ili nisikie jibu linalofuata. Akasema yuko na Mr xxxx na wako very close.

Nikasema powa, nikamuuliza akasema tena wameondoka wote kwa gari muda si mrefu. Nikampigia mke wangu mara saba simu hapokei nikapiga tena video call hapokei, nikajua kama kalewa huwa hapokei hata simu, lakin nikajiuliza kwanini hajaniambia kwamba angalau kafika nyumbani, mawazo yakaanza kunijia kichwani kwamba huyu atakuwa ukweli kachepuka na huyo mtu.

Nikawaza sana, asubuhi na mapema akanipigia kwamba kafika usiku sana na kapiga simu mara kadhaa haikupatikana, nikawaza mbona nilikuwa hewani, lakin nikaamua tu kuendelea kumpeleleza yule mwanamke akasema na sasa hivi karudi naye yule jamaa wamekaa wanakunywa, hapo ni Jumapili. Nikapiga simu mke akapokea akasema anajiandaa kwenda kanisani, nikakausha ila nikaumia.

Ikabidi nifunge safari kurudi Dar, nikaenda Nyumbani bila kumwambia mke nikamkuta pale kibarazani amekaa na mdogo wake, nikaingia ndani kwa jazba, nikaanza kumuuliza mke wangu juzi alipokuwa na hakurudi nyumbani.

Akapanik naye akasema wapi, nikamwambia na aliyekuwa naye akasema si ukweli katika kulazimishana aseme ukweli nikamnasa kibao akalia kwa uchungu, bahati nzuri hata umpige mke wangu uwa si wa kunitukana wala kupiga matusi, akajifungia akalia, akaja kwa magoti mbele yangu nimweleze habari nilipozipata na tuthibitishe.

Nikamwambia aliyekuwa naye, akasema basi twende kwake tumuulize. Nikakataa akasema twende umuonye tu angalau kwamba sitaki mazoea na mke wangu kama umejiridhisha kweli. Nikiwa na hasira kali, nikamfukuza mbele yangu nikitamani kumchapa tena.

Nilikaa bar moja jana nikaamua niseme sasa ngoja nimface huyo mwanamue nimweleze ukweli. Nikafunga safari nilipofika kwake nikaambiwa ana siku kadhaa yuko hospitali alianguka na pikipiki ana kama siku 5 nyuma, sikuamini nikaamua kwenda hospital kumuona alikuwa kweli ana P.O.P

Niliporudi kwangu nikaendelea kukausha mbele ya mke, nikiendelea na uchunguzi. Nikamuulizaa ulitoka bar kule saa ngapi, akasema saa 7 usiku, na ukaelekea wapi akajibu hapa nyumbani uliletwa na nani akasema bajaji. Nikakausha nikaenda kumuuliza mlinzi akasema yes saa saba na nusu mpaka saa nane kuna bajaji siku fulani iliingia ndani na kutoka.

Nikaenda control room ya nyumba tunazokaa kuna CcTv camera nikaangalia kweli bajaji ilirudi na Mke alishuka akiwa amevaa mavazi fulani. Nikamuuliza je, Jumapili ulikaa wapi, akasema niliendaka kanisani kusali na nilisali na fulani na fulani na kwenye Jumuiya niliwasilisha mchango wetu kwa Muinjiristi.

Nikapeleleza ni ukweli alienda huko. Sasa nimegundua nimemtuhumu visivyo na ameonesha heshima kubwa kwangu. Je, nimuombe msamaha au nifanye nini kuonesha nilimkosea, au nisiombe msamaha maana nilikuwa natimiza wajibu wangu wa kumlinda mke? Tatu yule alonipa habari ni wa sehemu fulani amelewa sijui nimwambie
 
Upo sahihi ndugu..mengi tunayoyafanya ni matokeo ya athari za kimazingira..kitamaduni..imani..malezi na nk..hata mimi nimetoka kwenye jamii hizo hizo..ndani ya familia ndio kabisa..Baba ni Baba..kwenye ukoo ndio tumekuzwa kujitambua na kujipambanua uanaume wetu...lakini kadiri nilivyozidi kujitambua..nikaanza kuchuja which is best for my life.

Mengi ni dhana tuu za kipuuzi tulizopandikizwa ambazo zinatuathiri sana sisi mwenyewe kuliko tunaowadhania kuwa tunawakomoa..

Mimi nimemtengeneza my wife kuwa my very very best friend...yaa ni rafiki haswaa...mbali ya utofauti mwingi tulionao huwa najikaza na kupuuza na kujikita kwenye mazuri yake...tumetoka makabila tofauti yasio endana kabisa kwa mengi...lakini tuka hamonize yote na kuunda kabila letu wenyewe tunaloliishi.

Namsikiliza sana na kumsapoti..tukichanganya akili zake ..maarifa yake...hekima zake na zangu yaani maisha yanaenda balaaa..safi kabisa..mzee mwenyewe anashangaa mno maana aliniona mwanzo kama mwanaume mjinga mjinga sana naye endekeza mwanamke.
Lakini leo ndio kila leo nikumsifia mkwewe kuwa ni mkwe bora kuliko wote.

Maana kama ni maendeleo tulipo toka na tulipo na tunakoelekea sio haba..waheshimuni wanawake..wapeni nafasi..shikamaneni..acheni mifumo dume but upendo uwe hakimu wenu..mtaiona mbingu Duniani..

Ni sawa tujikite kwenye mada sasa mkuu
 
Habari za asubuhi

Week iliyopita nilisafiri nje ya Mkoa wa DSM, nikamucha mchumba wangu, (Mke mtarajiwa) huko. Weekend akaniomba kwamba anaenda kutembea hivyo ana hamu ya kutoka out, nikasema sawa nikampa mpaka nauli na hela ya kunywa nikamsihi aende maeneo ambayo ingekuwa rahisi kummonita, kupitia vyanzo vyangu mbali mbali.

Akaenda alivyofika tukawasiliana vema, akaanza kunywa, nikamwambia akilewa achukue bajaji aende nyumbani. Akalewa kweli japo si sana akachukua bajaji akaondoka. Nikapewa habari na mwananke fulani kwamba vipi mkeo mbona namuona hapa? We ndio umemruhusu? Nikasema hapana, ili nisikie jibu linalofuata. Akasema yuko na Mr xxxx na wako very close.

Nikasema powa, nikamuuliza akasema tena wameondoka wote kwa gari muda si mrefu. Nikampigia mke wangu mara saba simu hapokei nikapiga tena video call hapokei, nikajua kama kalewa huwa hapokei hata simu, lakin nikajiuliza kwanini hajaniambia kwamba angalau kafika nyumbani, mawazo yakaanza kunijia kichwani kwamba huyu atakuwa ukweli kachepuka na huyo mtu.

Nikawaza sana, asubuhi na mapema akanipigia kwamba kafika usiku sana na kapiga simu mara kadhaa haikupatikana, nikawaza mbona nilikuwa hewani, lakin nikaamua tu kuendelea kumpeleleza yule mwanamke akasema na sasa hivi karudi naye yule jamaa wamekaa wanakunywa, hapo ni Jumapili. Nikapiga simu mke akapokea akasema anajiandaa kwenda kanisani, nikakausha ila nikaumia.

Ikabidi nifunge safari kurudi Dar, nikaenda Nyumbani bila kumwambia mke nikamkuta pale kibarazani amekaa na mdogo wake, nikaingia ndani kwa jazba, nikaanza kumuuliza mke wangu juzi alipokuwa na hakurudi nyumbani.

Akapanik naye akasema wapi, nikamwambia na aliyekuwa naye akasema si ukweli katika kulazimishana aseme ukweli nikamnasa kibao akalia kwa uchungu, bahati nzuri hata umpige mke wangu uwa si wa kunitukana wala kupiga matusi, akajifungia akalia, akaja kwa magoti mbele yangu nimweleze habari nilipozipata na tuthibitishe.

Nikamwambia aliyekuwa naye, akasema basi twende kwake tumuulize. Nikakataa akasema twende umuonye tu angalau kwamba sitaki mazoea na mke wangu kama umejiridhisha kweli. Nikiwa na hasira kali, nikamfukuza mbele yangu nikitamani kumchapa tena.

Nilikaa bar moja jana nikaamua niseme sasa ngoja nimface huyo mwanamue nimweleze ukweli. Nikafunga safari nilipofika kwake nikaambiwa ana siku kadhaa yuko hospitali alianguka na pikipiki ana kama siku 5 nyuma, sikuamini nikaamua kwenda hospital kumuona alikuwa kweli ana P.O.P

Niliporudi kwangu nikaendelea kukausha mbele ya mke, nikiendelea na uchunguzi. Nikamuulizaa ulitoka bar kule saa ngapi, akasema saa 7 usiku, na ukaelekea wapi akajibu hapa nyumbani uliletwa na nani akasema bajaji. Nikakausha nikaenda kumuuliza mlinzi akasema yes saa saba na nusu mpaka saa nane kuna bajaji siku fulani iliingia ndani na kutoka.

Nikaenda control room ya nyumba tunazokaa kuna CcTv camera nikaangalia kweli bajaji ilirudi na Mke alishuka akiwa amevaa mavazi fulani. Nikamuuliza je, Jumapili ulikaa wapi, akasema niliendaka kanisani kusali na nilisali na fulani na fulani na kwenye Jumuiya niliwasilisha mchango wetu kwa Muinjiristi.

Nikapeleleza ni ukweli alienda huko. Sasa nimegundua nimemtuhumu visivyo na ameonesha heshima kubwa kwangu. Je, nimuombe msamaha au nifanye nini kuonesha nilimkosea, au nisiombe msamaha maana nilikuwa natimiza wajibu wangu wa kumlinda mke? Tatu yule alonipa habari ni wa sehemu fulani amelewa sijui nimwambie
Mkuu,hii unakaa kimya kabisa.Yani usijadili wala usijaribu kuonesha kwamba una makosa.Kama umemhisi kwamaba sio muaminfu basi kuna potential na utakachofanya sa hv ndo kitamfanya awe mjanja.We mwache ajue kwamba humuamini na unamfuatilia ili awe na mashaka.Next time hataomba ruhusa ya kipuuzi ya kwenda kunywa peke yake usiku.

Nimemaliza.
 
Huo ndiyo uanaume. Hakuna kuomba msamaha wowote ule
Hawa watu bhana wanataka kujifanya wao tu ndio wana mioyo ya kuumia ila sie aah haiumi.
Mume wangu tuna mwezi sasa hayuna maelewano ndani sababu zenyewe za kijinga kanikosea sana heshima na kaishagundua kosa lake ila bado kakomaa tu kuonesha uanaume ila mimi nikimkosea napelekwa mpaka kwa wazee wa kanisa
 
Kama hamjaoona hamna haja ya kuoona,
Mashaka meengi sana kwenye relation yenu, na huko mbelen yatakuwa majanga tu.

By the way, mwanamke anarudi vp saa saba usiku akiwa amekunywa na ww kama mwanaume unakubali
 
Habari za asubuhi

Week iliyopita nilisafiri nje ya Mkoa wa DSM, nikamucha mchumba wangu, (Mke mtarajiwa) huko. Weekend akaniomba kwamba anaenda kutembea hivyo ana hamu ya kutoka out, nikasema sawa nikampa mpaka nauli na hela ya kunywa nikamsihi aende maeneo ambayo ingekuwa rahisi kummonita, kupitia vyanzo vyangu mbali mbali.

Akaenda alivyofika tukawasiliana vema, akaanza kunywa, nikamwambia akilewa achukue bajaji aende nyumbani. Akalewa kweli japo si sana akachukua bajaji akaondoka. Nikapewa habari na mwananke fulani kwamba vipi mkeo mbona namuona hapa? We ndio umemruhusu? Nikasema hapana, ili nisikie jibu linalofuata. Akasema yuko na Mr xxxx na wako very close.

Nikasema powa, nikamuuliza akasema tena wameondoka wote kwa gari muda si mrefu. Nikampigia mke wangu mara saba simu hapokei nikapiga tena video call hapokei, nikajua kama kalewa huwa hapokei hata simu, lakin nikajiuliza kwanini hajaniambia kwamba angalau kafika nyumbani, mawazo yakaanza kunijia kichwani kwamba huyu atakuwa ukweli kachepuka na huyo mtu.

Nikawaza sana, asubuhi na mapema akanipigia kwamba kafika usiku sana na kapiga simu mara kadhaa haikupatikana, nikawaza mbona nilikuwa hewani, lakin nikaamua tu kuendelea kumpeleleza yule mwanamke akasema na sasa hivi karudi naye yule jamaa wamekaa wanakunywa, hapo ni Jumapili. Nikapiga simu mke akapokea akasema anajiandaa kwenda kanisani, nikakausha ila nikaumia.

Ikabidi nifunge safari kurudi Dar, nikaenda Nyumbani bila kumwambia mke nikamkuta pale kibarazani amekaa na mdogo wake, nikaingia ndani kwa jazba, nikaanza kumuuliza mke wangu juzi alipokuwa na hakurudi nyumbani.

Akapanik naye akasema wapi, nikamwambia na aliyekuwa naye akasema si ukweli katika kulazimishana aseme ukweli nikamnasa kibao akalia kwa uchungu, bahati nzuri hata umpige mke wangu uwa si wa kunitukana wala kupiga matusi, akajifungia akalia, akaja kwa magoti mbele yangu nimweleze habari nilipozipata na tuthibitishe.

Nikamwambia aliyekuwa naye, akasema basi twende kwake tumuulize. Nikakataa akasema twende umuonye tu angalau kwamba sitaki mazoea na mke wangu kama umejiridhisha kweli. Nikiwa na hasira kali, nikamfukuza mbele yangu nikitamani kumchapa tena.

Nilikaa bar moja jana nikaamua niseme sasa ngoja nimface huyo mwanamue nimweleze ukweli. Nikafunga safari nilipofika kwake nikaambiwa ana siku kadhaa yuko hospitali alianguka na pikipiki ana kama siku 5 nyuma, sikuamini nikaamua kwenda hospital kumuona alikuwa kweli ana P.O.P

Niliporudi kwangu nikaendelea kukausha mbele ya mke, nikiendelea na uchunguzi. Nikamuulizaa ulitoka bar kule saa ngapi, akasema saa 7 usiku, na ukaelekea wapi akajibu hapa nyumbani uliletwa na nani akasema bajaji. Nikakausha nikaenda kumuuliza mlinzi akasema yes saa saba na nusu mpaka saa nane kuna bajaji siku fulani iliingia ndani na kutoka.

Nikaenda control room ya nyumba tunazokaa kuna CcTv camera nikaangalia kweli bajaji ilirudi na Mke alishuka akiwa amevaa mavazi fulani. Nikamuuliza je, Jumapili ulikaa wapi, akasema niliendaka kanisani kusali na nilisali na fulani na fulani na kwenye Jumuiya niliwasilisha mchango wetu kwa Muinjiristi.

Nikapeleleza ni ukweli alienda huko. Sasa nimegundua nimemtuhumu visivyo na ameonesha heshima kubwa kwangu. Je, nimuombe msamaha au nifanye nini kuonesha nilimkosea, au nisiombe msamaha maana nilikuwa natimiza wajibu wangu wa kumlinda mke? Tatu yule alonipa habari ni wa sehemu fulani amelewa sijui nimwambie
Piga goti boss huna namna, hata sisi wanaume tunakosea, kiungwana kabisa
 
Wivu nilikua nao zamani, lakini naona hakuna haja sahivi kuwa na wivu husaidia zaidi ya kuongeza sintofahamu
 
Bila shaka utakuwa mkurya mkuu
 
Back
Top Bottom