Je, nimuomba msamaha au nikaushe kuonesha ndio ukidume na kufuatilia matendo ya mke wangu?

dadapesa

Member
Jun 16, 2020
40
150
Habari za asubuhi

Week iliyopita nilisafiri nje ya Mkoa wa DSM, nikamucha mchumba wangu, (Mke mtarajiwa) huko. Weekend akaniomba kwamba anaenda kutembea hivyo ana hamu ya kutoka out, nikasema sawa nikampa mpaka nauli na hela ya kunywa nikamsihi aende maeneo ambayo ingekuwa rahisi kummonita, kupitia vyanzo vyangu mbali mbali.

Akaenda alivyofika tukawasiliana vema, akaanza kunywa, nikamwambia akilewa achukue bajaji aende nyumbani. Akalewa kweli japo si sana akachukua bajaji akaondoka. Nikapewa habari na mwananke fulani kwamba vipi mkeo mbona namuona hapa? We ndio umemruhusu? Nikasema hapana, ili nisikie jibu linalofuata. Akasema yuko na Mr xxxx na wako very close.

Nikasema powa, nikamuuliza akasema tena wameondoka wote kwa gari muda si mrefu. Nikampigia mke wangu mara saba simu hapokei nikapiga tena video call hapokei, nikajua kama kalewa huwa hapokei hata simu, lakin nikajiuliza kwanini hajaniambia kwamba angalau kafika nyumbani, mawazo yakaanza kunijia kichwani kwamba huyu atakuwa ukweli kachepuka na huyo mtu.

Nikawaza sana, asubuhi na mapema akanipigia kwamba kafika usiku sana na kapiga simu mara kadhaa haikupatikana, nikawaza mbona nilikuwa hewani, lakin nikaamua tu kuendelea kumpeleleza yule mwanamke akasema na sasa hivi karudi naye yule jamaa wamekaa wanakunywa, hapo ni Jumapili. Nikapiga simu mke akapokea akasema anajiandaa kwenda kanisani, nikakausha ila nikaumia.

Ikabidi nifunge safari kurudi Dar, nikaenda Nyumbani bila kumwambia mke nikamkuta pale kibarazani amekaa na mdogo wake, nikaingia ndani kwa jazba, nikaanza kumuuliza mke wangu juzi alipokuwa na hakurudi nyumbani.

Akapanik naye akasema wapi, nikamwambia na aliyekuwa naye akasema si ukweli katika kulazimishana aseme ukweli nikamnasa kibao akalia kwa uchungu, bahati nzuri hata umpige mke wangu uwa si wa kunitukana wala kupiga matusi, akajifungia akalia, akaja kwa magoti mbele yangu nimweleze habari nilipozipata na tuthibitishe.

Nikamwambia aliyekuwa naye, akasema basi twende kwake tumuulize. Nikakataa akasema twende umuonye tu angalau kwamba sitaki mazoea na mke wangu kama umejiridhisha kweli. Nikiwa na hasira kali, nikamfukuza mbele yangu nikitamani kumchapa tena.

Nilikaa bar moja jana nikaamua niseme sasa ngoja nimface huyo mwanamue nimweleze ukweli. Nikafunga safari nilipofika kwake nikaambiwa ana siku kadhaa yuko hospitali alianguka na pikipiki ana kama siku 5 nyuma, sikuamini nikaamua kwenda hospital kumuona alikuwa kweli ana P.O.P

Niliporudi kwangu nikaendelea kukausha mbele ya mke, nikiendelea na uchunguzi. Nikamuulizaa ulitoka bar kule saa ngapi, akasema saa 7 usiku, na ukaelekea wapi akajibu hapa nyumbani uliletwa na nani akasema bajaji. Nikakausha nikaenda kumuuliza mlinzi akasema yes saa saba na nusu mpaka saa nane kuna bajaji siku fulani iliingia ndani na kutoka.

Nikaenda control room ya nyumba tunazokaa kuna CcTv camera nikaangalia kweli bajaji ilirudi na Mke alishuka akiwa amevaa mavazi fulani. Nikamuuliza je, Jumapili ulikaa wapi, akasema niliendaka kanisani kusali na nilisali na fulani na fulani na kwenye Jumuiya niliwasilisha mchango wetu kwa Muinjiristi.

Nikapeleleza ni ukweli alienda huko. Sasa nimegundua nimemtuhumu visivyo na ameonesha heshima kubwa kwangu. Je, nimuombe msamaha au nifanye nini kuonesha nilimkosea, au nisiombe msamaha maana nilikuwa natimiza wajibu wangu wa kumlinda mke? Tatu yule alonipa habari ni wa sehemu fulani amelewa sijui nimwambie
Kabwinyola.... Hiyo ni story bana usitushughulishe, awe na hamu ya kutoka out siku tu iliyosafir, kwanini msitoke out kipindi upo!? Na ulitumia usafir gan kurud dar haraka hivo kuja kufumania? Na utasemaje ni mke ntarajiwa wakati mnaishi wote? Huyo ni mkeo na kingine mwambie aache pombe,mwanamke hapendez kulewa bana, baba alewe,mama alewe na watotooo????
 
kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,560
2,000
Habari za asubuhi

Week iliyopita nilisafiri nje ya Mkoa wa DSM, nikamucha mchumba wangu, (Mke mtarajiwa) huko. Weekend akaniomba kwamba anaenda kutembea hivyo ana hamu ya kutoka out, nikasema sawa nikampa mpaka nauli na hela ya kunywa nikamsihi aende maeneo ambayo ingekuwa rahisi kummonita, kupitia vyanzo vyangu mbali mbali.

Akaenda alivyofika tukawasiliana vema, akaanza kunywa, nikamwambia akilewa achukue bajaji aende nyumbani. Akalewa kweli japo si sana akachukua bajaji akaondoka. Nikapewa habari na mwananke fulani kwamba vipi mkeo mbona namuona hapa? We ndio umemruhusu? Nikasema hapana, ili nisikie jibu linalofuata. Akasema yuko na Mr xxxx na wako very close.

Nikasema powa, nikamuuliza akasema tena wameondoka wote kwa gari muda si mrefu. Nikampigia mke wangu mara saba simu hapokei nikapiga tena video call hapokei, nikajua kama kalewa huwa hapokei hata simu, lakin nikajiuliza kwanini hajaniambia kwamba angalau kafika nyumbani, mawazo yakaanza kunijia kichwani kwamba huyu atakuwa ukweli kachepuka na huyo mtu.

Nikawaza sana, asubuhi na mapema akanipigia kwamba kafika usiku sana na kapiga simu mara kadhaa haikupatikana, nikawaza mbona nilikuwa hewani, lakin nikaamua tu kuendelea kumpeleleza yule mwanamke akasema na sasa hivi karudi naye yule jamaa wamekaa wanakunywa, hapo ni Jumapili. Nikapiga simu mke akapokea akasema anajiandaa kwenda kanisani, nikakausha ila nikaumia.

Ikabidi nifunge safari kurudi Dar, nikaenda Nyumbani bila kumwambia mke nikamkuta pale kibarazani amekaa na mdogo wake, nikaingia ndani kwa jazba, nikaanza kumuuliza mke wangu juzi alipokuwa na hakurudi nyumbani.

Akapanik naye akasema wapi, nikamwambia na aliyekuwa naye akasema si ukweli katika kulazimishana aseme ukweli nikamnasa kibao akalia kwa uchungu, bahati nzuri hata umpige mke wangu uwa si wa kunitukana wala kupiga matusi, akajifungia akalia, akaja kwa magoti mbele yangu nimweleze habari nilipozipata na tuthibitishe.

Nikamwambia aliyekuwa naye, akasema basi twende kwake tumuulize. Nikakataa akasema twende umuonye tu angalau kwamba sitaki mazoea na mke wangu kama umejiridhisha kweli. Nikiwa na hasira kali, nikamfukuza mbele yangu nikitamani kumchapa tena.

Nilikaa bar moja jana nikaamua niseme sasa ngoja nimface huyo mwanamue nimweleze ukweli. Nikafunga safari nilipofika kwake nikaambiwa ana siku kadhaa yuko hospitali alianguka na pikipiki ana kama siku 5 nyuma, sikuamini nikaamua kwenda hospital kumuona alikuwa kweli ana P.O.P

Niliporudi kwangu nikaendelea kukausha mbele ya mke, nikiendelea na uchunguzi. Nikamuulizaa ulitoka bar kule saa ngapi, akasema saa 7 usiku, na ukaelekea wapi akajibu hapa nyumbani uliletwa na nani akasema bajaji. Nikakausha nikaenda kumuuliza mlinzi akasema yes saa saba na nusu mpaka saa nane kuna bajaji siku fulani iliingia ndani na kutoka.

Nikaenda control room ya nyumba tunazokaa kuna CcTv camera nikaangalia kweli bajaji ilirudi na Mke alishuka akiwa amevaa mavazi fulani. Nikamuuliza je, Jumapili ulikaa wapi, akasema niliendaka kanisani kusali na nilisali na fulani na fulani na kwenye Jumuiya niliwasilisha mchango wetu kwa Muinjiristi.

Nikapeleleza ni ukweli alienda huko. Sasa nimegundua nimemtuhumu visivyo na ameonesha heshima kubwa kwangu. Je, nimuombe msamaha au nifanye nini kuonesha nilimkosea, au nisiombe msamaha maana nilikuwa natimiza wajibu wangu wa kumlinda mke? Tatu yule alonipa habari ni wa sehemu fulani amelewa sijui nimwambie
Maneno ya kuambiwa, hope umejifunza. Kikubwa hakuna kuomba msamaha kausha potezea juu kwa juu mkuu
 
ERoni

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
32,561
2,000
Mwanamke ni lazima awe controlled, hata Adam alishindwa kum-control Hawa ndio maana yakatokea ya kutokea, give her freedom but control some of her movements.

Ilà kweli MKE kabisa bar hafi saa saba? Ndio maana tabia ya ulevi siipendi kwa wanawake. Hao watoto atalea saa ngapi?
 
Philosodilia

Senior Member
Jan 25, 2018
105
225
Ingekuwa mtihani wa Kiswahili... Swali lingekuwa...

1. Andika kichwa cha habari cha hadithi hii.
2. Fupisha hadithi hii kwa maneno yasiyozidi 75.
 
Balvejmumt

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,798
2,000
Habari za asubuhi

Week iliyopita nilisafiri nje ya Mkoa wa DSM, nikamucha mchumba wangu, (Mke mtarajiwa) huko. Weekend akaniomba kwamba anaenda kutembea hivyo ana hamu ya kutoka out, nikasema sawa nikampa mpaka nauli na hela ya kunywa nikamsihi aende maeneo ambayo ingekuwa rahisi kummonita, kupitia vyanzo vyangu mbali mbali.

Akaenda alivyofika tukawasiliana vema, akaanza kunywa, nikamwambia akilewa achukue bajaji aende nyumbani. Akalewa kweli japo si sana akachukua bajaji akaondoka. Nikapewa habari na mwananke fulani kwamba vipi mkeo mbona namuona hapa? We ndio umemruhusu? Nikasema hapana, ili nisikie jibu linalofuata. Akasema yuko na Mr xxxx na wako very close.

Nikasema powa, nikamuuliza akasema tena wameondoka wote kwa gari muda si mrefu. Nikampigia mke wangu mara saba simu hapokei nikapiga tena video call hapokei, nikajua kama kalewa huwa hapokei hata simu, lakin nikajiuliza kwanini hajaniambia kwamba angalau kafika nyumbani, mawazo yakaanza kunijia kichwani kwamba huyu atakuwa ukweli kachepuka na huyo mtu.

Nikawaza sana, asubuhi na mapema akanipigia kwamba kafika usiku sana na kapiga simu mara kadhaa haikupatikana, nikawaza mbona nilikuwa hewani, lakin nikaamua tu kuendelea kumpeleleza yule mwanamke akasema na sasa hivi karudi naye yule jamaa wamekaa wanakunywa, hapo ni Jumapili. Nikapiga simu mke akapokea akasema anajiandaa kwenda kanisani, nikakausha ila nikaumia.

Ikabidi nifunge safari kurudi Dar, nikaenda Nyumbani bila kumwambia mke nikamkuta pale kibarazani amekaa na mdogo wake, nikaingia ndani kwa jazba, nikaanza kumuuliza mke wangu juzi alipokuwa na hakurudi nyumbani.

Akapanik naye akasema wapi, nikamwambia na aliyekuwa naye akasema si ukweli katika kulazimishana aseme ukweli nikamnasa kibao akalia kwa uchungu, bahati nzuri hata umpige mke wangu uwa si wa kunitukana wala kupiga matusi, akajifungia akalia, akaja kwa magoti mbele yangu nimweleze habari nilipozipata na tuthibitishe.

Nikamwambia aliyekuwa naye, akasema basi twende kwake tumuulize. Nikakataa akasema twende umuonye tu angalau kwamba sitaki mazoea na mke wangu kama umejiridhisha kweli. Nikiwa na hasira kali, nikamfukuza mbele yangu nikitamani kumchapa tena.

Nilikaa bar moja jana nikaamua niseme sasa ngoja nimface huyo mwanamue nimweleze ukweli. Nikafunga safari nilipofika kwake nikaambiwa ana siku kadhaa yuko hospitali alianguka na pikipiki ana kama siku 5 nyuma, sikuamini nikaamua kwenda hospital kumuona alikuwa kweli ana P.O.P

Niliporudi kwangu nikaendelea kukausha mbele ya mke, nikiendelea na uchunguzi. Nikamuulizaa ulitoka bar kule saa ngapi, akasema saa 7 usiku, na ukaelekea wapi akajibu hapa nyumbani uliletwa na nani akasema bajaji. Nikakausha nikaenda kumuuliza mlinzi akasema yes saa saba na nusu mpaka saa nane kuna bajaji siku fulani iliingia ndani na kutoka.

Nikaenda control room ya nyumba tunazokaa kuna CcTv camera nikaangalia kweli bajaji ilirudi na Mke alishuka akiwa amevaa mavazi fulani. Nikamuuliza je, Jumapili ulikaa wapi, akasema niliendaka kanisani kusali na nilisali na fulani na fulani na kwenye Jumuiya niliwasilisha mchango wetu kwa Muinjiristi.

Nikapeleleza ni ukweli alienda huko. Sasa nimegundua nimemtuhumu visivyo na ameonesha heshima kubwa kwangu. Je, nimuombe msamaha au nifanye nini kuonesha nilimkosea, au nisiombe msamaha maana nilikuwa natimiza wajibu wangu wa kumlinda mke? Tatu yule alonipa habari ni wa sehemu fulani amelewa sijui nimwambie
kosa la kwanza kubwa ulilolifanya ni kufanya maamuzi bila kumaliza upelelezi......

jiandae kisaikolojia ..... kwanza ukubali kushuka nikiwa na maana kujishusha kwa mkeo, lakini la pili ujhiandae kukumbana na kadhia ya mkeo atakapotaka kumjua uliyekuwa ukifanya naye mawasiliano ila la tatu na la mwisho KUNA WAKATI KATIKA MAISHA INATUBIDI KUIKUBALI FEDHEA NA KUDHARAULIWA PALE TUNAPOKOSEA AU AMBAPO TUNASINGIZIWA KUKOSEA LENGO LIKIWA, KUWA NA MWISHO WENYE MABADILIKO NA FURAHA
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
19,311
2,000
Sijui kwann ? Unakuta Mwanaume unaagwa na mkeo kua "Naenda kunywa pombe"

Nawewe unakubali , Toka Lini mlevi akaongoza Akili yake?? Akaongoza Mwili wake??.

Jpil ilopita, nmekaa najamaa yangu mahali, pemben alikaa bidada wamakamo tu, anakunywa, jamaa akmsogelea, hapa nahapa, ikagundulika bidada ni mke wa Askari Magereza ( Afsa)

Kwa ufupi, jamaa alienda kumtombaa usiku mpaka mishale ya saa 11 akamrudisha kwake.

Pombe?? Zinaongeza nyege

Basi amemis sana , Mchukulie vinywaji, mletee nyumban apombekee akiwa sehem salama.
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
19,311
2,000
Ingawa ni hadithi ila ina mafunzo.....

Muombe samahani ikiwa unaamini ulikosea.

Usimuombe samahan ikiwa unaamini ulikua unafanya wajibu wako.
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
44,256
2,000
Mwanamke unayetaka kumuoa ..anakwenda kulewa na kurudi saa 7 usiku tena akiwa tungi. !!!!

Umeshachapiwa mkuu wewe Fanya tu kuwa hiyo ni siri ya ndani ..lakini kuchapiwa umechapiwa
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
56,423
2,000
Upo sahihi ndugu..mengi tunayoyafanya ni matokeo ya athari za kimazingira..kitamaduni..imani..malezi na nk..hata mimi nimetoka kwenye jamii hizo hizo..ndani ya familia ndio kabisa..Baba ni Baba..kwenye ukoo ndio tumekuzwa kujitambua na kujipambanua uanaume wetu...lakini kadiri nilivyozidi kujitambua..nikaanza kuchuja which is best for my life.

Mengi ni dhana tuu za kipuuzi tulizopandikizwa ambazo zinatuathiri sana sisi mwenyewe kuliko tunaowadhania kuwa tunawakomoa..

Mimi nimemtengeneza my wife kuwa my very very best friend...yaa ni rafiki haswaa...mbali ya utofauti mwingi tulionao huwa najikaza na kupuuza na kujikita kwenye mazuri yake...tumetoka makabila tofauti yasio endana kabisa kwa mengi...lakini tuka hamonize yote na kuunda kabila letu wenyewe tunaloliishi.

Namsikiliza sana na kumsapoti..tukichanganya akili zake ..maarifa yake...hekima zake na zangu yaani maisha yanaenda balaaa..safi kabisa..mzee mwenyewe anashangaa mno maana aliniona mwanzo kama mwanaume mjinga mjinga sana naye endekeza mwanamke.
Lakini leo ndio kila leo nikumsifia mkwewe kuwa ni mkwe bora kuliko wote.

Maana kama ni maendeleo tulipo toka na tulipo na tunakoelekea sio haba..waheshimuni wanawake..wapeni nafasi..shikamaneni..acheni mifumo dume but upendo uwe hakimu wenu..mtaiona mbingu Duniani..
Komenti bora ya mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadde

JF-Expert Member
May 20, 2019
26,124
2,000
Haya sasa wale wanaume wa kushauriana ujinga kama kawaida yao
 
COMPTON BLVD

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
686
1,000
Rule number 1,Don't accept your wife to drink alcohol alone or with friends. Maana Hiyo Pombe ikimshinda marafiki wanaweza wakaanza kumpa sumu ya kuchepuka, au akiwa pekee yake akilewa anaweza kuliwa kirahisi tena bila kinga na mtu yeyote. Na wengine wanajifanya wanampa msaada wa kumpeleka home wana divert njia na kumpeleka kwengineko.
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
14,472
2,000
Hawa watu bhana wanataka kujifanya wao tu ndio wana mioyo ya kuumia ila sie aah haiumi.
Mume wangu tuna mwezi sasa hayuna maelewano ndani sababu zenyewe za kijinga kanikosea sana heshima na kaishagundua kosa lake ila bado kakomaa tu kuonesha uanaume ila mimi nikimkosea napelekwa mpaka kwa wazee wa kanisa
Duh..!..
 
digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
6,127
2,000
Mkuu Kwa uzoefu wangu kwenye mapenzi kama mke akichepuka hata akuombe msamaha gani hawezi kuacha.

Sasa suruhu sio kumpiga,hivyo ulikurupuka sana kufikia hitimisho,ungeenda taratibu ungemkamata mapema sana bila shida ,inaonekana huna uvumilivu.

So tambua mtoa taarifa wako hawezi kumsingizia yote hayo,harafu ni kama upuuzi Fulani kumpiga mkeo kwa kosa kubwa kama hilo,kama kweli alichepuka huyo katu hawezi kuacha,kwa mwanamme kamili ulitakiwa ufanye utafiti theni uje na suruhisho la kumtimua na sio kumpiga,kama kuchepuka ni hurka yake kuna siku atakusababishia matatizo makubwa ambayo huwa ni matatu tu ukiwa na mwanamke mchepukaji,kufa wewe,kumuua yeye au kumuu mgoni wako.mwisho ni jera au kaburini.

Sasa hayo yote yanini bwana wewe,maisha matamu sana,watoto wazuri wanazidi kuzaliwa,mwanamke asikuharibie maisha yako na ya nduguzo ,piga Chini leta kitu mpya,

Mwisho bora pengo kuliko Jino bovu.sasa kama wewe ni bingwa wa kuvumilia maumivu kazi kwako.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
kijazi07

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
937
1,000
Kosa la kwanza kumrihusu atoke na kumruhusu atumie kilev akiwa mwenyew kama umesema alikuwa na mdogo wake basi walau ungemwambia atoke nae

Pili vyanzo vyako vya habari chunguza na uwe makin navyo ipo siku vitakuchoma na kukuharibia

Nne kausha usiombe msamaha ww badilika onyesha kujal na kupenda utaona moyo wako utaridhik na huto jilaum
 
Date20210317

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
4,474
2,000
Kazi sana.
Kuna time huwa namuhis vibaya sana yf.sana tu yan ila napiga zangu moyo konde maisha yanaenda kwakua sina vithibitisho though kuna mambo huko nyuma yalishawah jitokeza.
Kwakifupi sio vizur kumuamin sana mtu though si vyema kuonyesha kama humuamin mpaka siku upate sababu za uhakika.
Mwanamke au mwanaume wote ni waigizaji tu.Tunatofautiana just viwango.Huyu Bollywood mwingine Hollywood.ila usiombee ukutane na Bongo movie.
Pasua.
NB.
kuchapiwa ni siri ya ndani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom