Mh kweli tumeumbwa tofauti hapa duniani. Nakushauri endelea tu kumsubiri maana inaelekea umempenda Sana jamaa yako. Ila najitaidi Sana kutafakari wewe ni mtu Wa aina gani nashindwa
Girl,,,thr is no fairy tale in real world,usikubali hata siku moja kukaa na mwanaume asiejielewa,asiena msimamo,na anaependa shortcut...usikubali kutumika,,..u deserve sooo much better.
What is Ironic is, Even if u wont plan it he may come back and u may accept him and get married. And that will make u happy and think its the best thing that has ever happened to you.
Up until he cheats on u. U forgive him (C ndo mambo ya ndoa tena?). Then he cheats again and again and again.
Until u feel like u never knew him....Moments pass and u realize u never actually loved him. Just obsessed!!
Three things,
a) Trust me Humpendi (NI just feeling za kupinga kutopendwa, kufeli kwenye mahusiano and little infatuation on him. Hakuna mtu anayependa kuface ukweli kuwa hapendwi.). If u really love him let him go enjoy his life and go on with yours.
b) Again trust me, HAKUPENDI. kama ukibisha hili maybe hujawahi kumuona a man in love (U know. When a man loves a woman)
c) Whatever u do. Know kwamba kesho itakuja na hizo feelings hazitakuwepo na kitakachozianzisha tena ni kumbukumbu ya how was he a man to u! Amekuwa mwanaume halisi kwako kwa jinsi unavyostahili?
Dada yangu usione ndoa zinavunjika ukadhani makosa waliyoyafanya ni madogo, ama circumstances zilikuwa rahisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.