Je Nimpigie au na mimi niuchune!?

mi nilifikiri ni wanawake tu ndo wanaolalamika kuhusu simu..
eti hajanipigia..

mara sms anachelewa kujibu
mara nikimpigia anachelewa kupokea....

babu zetu na bibi zetu walifaidi mno kuishi bila simu...
mmh uko sahihi kabisa na fikira zako.
huyo mwanaume wa kununa back instead ya kuface tatizo na kulitokomeza sijui wa wap??
mpigie bana kaka, kununa nuna tabia za kike kweli tena.
handle mambo yako kiume zaidi sawa??
 
Mshikaji hauna kifua kipana wewe! Kuzima simu siku moja tuu, unaumwa, je akizima mwezi si ndo utakuwa marehemu kabisa wewe?

Anyway, mchukue mka do, ukiona maufundi yamezidi uje alikuwa na mmakonde!

Chonde, chonde mnavunja mbavu zetu!
 
mbona unafanya mambo ya kitoto!mwanaume hasusi bwana mkubwa hasa kwasababu kama hizo!!!
 
Hahahahahahaha..ulimwengu huu huwez kupata kitu sealed-KWAHIYO WANAFUNGULIWA WAKIWA TUMBONI AU SIKU HAWANA KABISA?
 
huyu jamaa anahisi demu hakuwa kwenye send off.....lakini ukifikria vizuri haileti maana,kwann azime simu??
 
Piga tu,mwanaume hana tabia za kuuchuna,huo ni ukike,madem wachune kimnya,na wewe pia,well usije kaa vibaya ukasikia ilikuwa send off yake..
 
Ni ni Binti ambaye niko naye muda kiasi,lakini toka jana simuelewielewi! Kapotea bila kunipigia wala kunibeep kutwa nzima! kwa madai anaenda ktk sendoff! Cha ajabu kaja kufunguka saa moja na nusu asubuhi na kijimeseji akiwa ananiuliza"Uko wapi dear"! mi sijamjibu wala nini! anapiga cm sana sijapokea wala nini! Ki ukweli nimekasirika sana! Vipi wadau niongee nae au niuchune? N.B, KAMA HUNA CHA KUCHANGIA KATA MBUGA,USINIDHALILISHE!
Kwa post yako, UWEZO WA KUUCHUNA HUNA HATA CHEMBE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom