Je, nimemkosea Baba yangu? Nishauri nifanye nini

Je, nimemkosea Baba yangu? Nishauri nifanye nini

Itakuwa mzee wako katokea Mbunguni moja kwa moja yaani kwenye ujana wake hakusikia hizi nyimbo....!!!
 
Itakuwa mzee wako katokea Mbunguni moja kwa moja yaani kwenye ujana wake hakusikia hizi nyimbo....!!!
Sasa atazisikiliza wapi?? Yeye nyimbo zake ni za kina Malebo na barabara ya 13 Ulyankulu Tabora
 
Muwekee tu ili apime malezi yake kwa wanawe hasa wewe siku atakapojua zinahusiana na nini, hapo ndio atajua mchungwa unaweza pandikizwa mlimao na yakazaana. Itamsaidia kujua kuwa ni rahisi kukiona kipande cha mti ktk jicho la mwingine wakati lake lina boriti. Haki atajifunza sana.
Mkuu umenisononesha sana
 
Mkuu wewe ndio umemdanganya kuwa ni nyimbo za dini za ulaya...sasa pambana na hali yako either umwambie ukweli au ukomae aaibike siku moja..

Lkn kumbuka uongo unakupa ushindi wa siku moja tu na ukweli unadumu
Msaada wako pls
 
Mkuu kama angekuwa anazijua asinge omba. Mm niliona niseme za dini ili tuende sawa. Sasa sikujua kama angefikia hatua hii ya kuzitaka hizi nyimbo
Anazijua sana hizo nyimbo,kwa umri wake huo wa 55 years old,sio kweli anazitaka hizo nyimbo bali anataka aone tu huo uongo wako utaishia wapi? Usisahau tu kutuletea mrejesho hapa.
 
Mkuu wewe ndio umemdanganya kuwa ni nyimbo za dini za ulaya...sasa pambana na hali yako either umwambie ukweli au ukomae aaibike siku moja..

Lkn kumbuka uongo unakupa ushindi wa siku moja tu na ukweli unadumu
Mkuu nimeilelewa sana hii sentensi ya mwisho.
 
Kwani ukiwa mtumishi hujui mapenzi!??usiwe na mchecheto hata nao wana mapenzi...
 
Baba Yako ni mchungaji" lakini hata lugha ya malkia haijui",.Maana laiti kama angekuwa anajua",Asingeshindwa. Kung'amua Jumbe zilizopo kwenye hizo nyimbo... bila shaka huko kanisani atakuwa anawaongoza wafu"
 
Back
Top Bottom