Je, nimeathirika kweli?

Uzinzi ni uchafu ,mataahira tu ndio wanapenda huo uchafu.
 
Waone wataalamu wa afya watakusaidia.
 
kama huna ushauri kaa kimya
hata wasio fanya uasherati na uzinzi wana matatizo yao
hapo hakuna tatizo zaidi ya kubanwa n ndomu
Zingatia ushauri uliopewa ngono ni chukizo kubwa kwa Mola wako. Ni uchafu ukimbie kwa Nguvu zako zote.
 
Picha ya hapo palipobanwa pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
Itakua condom huko ilikoishia ilikubana sana nadhani patakua sawa tu!
cc Smart911
 

Weka picha
 
kama huna ushauri kaa kimya
hata wasio fanya uasherati na uzinzi wana matatizo yao
hapo hakuna tatizo zaidi ya kubanwa n ndomu

Yéyé kazipiga sana hizo za kizinzi anazoziiita najua hadi kwao
 
Mleta mada kabla sijakupa ushauri sahihi

1: nipetofauti ya dini na elimu

2: alafu nipetofauti ya imani na msimamo mkali


Alafu pia niambie kuna uhusiano gani kati ya dini, elimu, imani na msimamo mkali katika matazamio ya maisha ya baadae
 
Naam nikweli kwa sasa nalijua hilo maana nimempokea YESU KRISTO kuwa Mwokozi wa maisha yangu,,,ndo maana nikatangulia kusema enzi za ujinga!!
Hakuna watu wanafiki duniani kama Walokole na Wasabato.
 
kama huna ushauri kaa kimya
hata wasio fanya uasherati na uzinzi wana matatizo yao
hapo hakuna tatizo zaidi ya kubanwa n ndomu
Endelea tu kuutetea uasherati na uzinzi.

Utatuletea mrejesho mmoja katika matatu.

1) Au umeathirika na magonjwa ya zinaa.

2) Au umeathirika na umasikini uliokithiri.

3) Au umefumaniwa ukageuzwa wewe bwabwa.

Tunasubiri.
 
Hiyo ni mboro au ndizi mbivu mkuu?mkuyenge umebanwa na ndomu miaka Hiyo Mpaka Leo pamechimbika?
 
Endelea tu kuutetea uasherati na uzinzi.

Utatuletea mrejesho mmoja katika matatu.

1) Au umeathirika na magonjwa ya zinaa.

2) Au umeathirika na umasikini uliokithiri.

3) Au umefumaniwa ukageuzwa wewe bwabwa.

Tunasubiri.
hahahaha watu wa pwani kwa kukosa elimu ndio huongoza kwa yote uliyo taja hapo juu

kuna wazinzi kama waislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…