je, nikweli hela ya mke ndani ya ndoa haitoki?

Nisaidieni bure.
Nimejengeka na mentality kua hela ya mke ni yamke na ya mume niyafamilia.

Jambo linalonifanya nione bora kuoa golikipa tu kuliko kuoa mke alonakazi iso na msaada ndan ya nyumba. Hali ikoje?
Ndio maana yake
 
Kwani ndoa/familia ni ya nani? Baba, mama au wote?
 
Hakuna hela isiyotoka, hela ya mwanamke inatoka kwny bank A/c au Mpesa etc. na kuingia kwny pochi yake.

Ikienda mbali sana itaenda dukani kununua vitu vyake vidogovidogo.

Akijiongeza kukusupport au kukununulia zawadi unasema Alhamdullilah ila sio lazima.

Hiyo ndio cashflow yao.
 
Kuna faida za kuoa mke alie na kazi au biashara.

Likitokea lolote yeye ana uwezo wa kuendesha familia.

Inategemea maelewano yenu, kama una kipato kikubwa muachie hela yake afanyie vitu vyake vidogo vidogo kama akijisikia kukusaidia chochote ni yeye sio ndiyo uipigie mahesabu.

Kama kipato cha kawaida basi mnaweza gawana majukumu yeye anaweza deal na mambo ya ndani wewe ukawa unadeal na vitu vikubwa mf. Ujenzi...ada za watoto...uwekezaji na n.k
 
Mambo ya ndani ndo yanatumia hela kubwa sana maana ni kila siku lazima kula, kufua,. nk kujenga ni kidogo kidogo
 
Kuna faida za kuoa mke alie na kazi au biashara.

Likitokea lolote yeye ana uwezo wa kuendesha familia.

Inategemea maelewano yenu, kama una kipato kikubwa muachie hela yake afanyie vitu vyake vidogo vidogo kama akijisikia kukusaidia chochote ni yeye sio ndiyo uipigie mahesabu.

Kama kipato cha kawaida basi mnaweza gawana majukumu yeye anaweza deal na mambo ya ndani wewe ukawa unadeal na vitu vikubwa mf. Ujenzi...ada za watoto...uwekezaji na n.k
Nimekua na hofu sana,mana naskia na dharau pia wanazo
 
Nisaidieni bure.
Nimejengeka na mentality kua hela ya mke ni yamke na ya mume niyafamilia.

Jambo linalonifanya nione bora kuoa golikipa tu kuliko kuoa mke alonakazi iso na msaada ndan ya nyumba. Hali ikoje?
Mwanamme wa kweli hamtegemei mwanamke kwenye suala la kipato....nawashangaa wanaume wanaotafuta wake kwa kuangalia eti awe na kazi....kwa madai eti kusaidiana majukumu au endapo mme akifa mwanamke asaidie watoto...na mkifa nyote je!....amini nawambie ukitaka kulinda status yako kama mwanamke oa asie na kazi
 
Nagonga meza, hela ya mama wacha anunulie mapochi na peruvian hair tu. Akikupa sawa ila sio lazima na wengi hawawezagi kutoa hela zao so kama umejianda kufulishwa nguo na kupigishwa deki tegemea hela ya mwanamke wako.
 
Pesa ya mwanamke ni ya motoooo...!! Akupe kwa kutakaa... ukiitegemea wafwaaaaa anaweza kueletea mpaka wanaume ndani kwako... Dharauuu kitu kibayaa sana kwenye ndoa..
 
Mwanamke ni moja ya viumbe wa ajabu sana, walio wengi wao akili zao wamezijenga kwenye kuamini akishaolewa basi hana wajibu wa kuwajibika kugharamia familia yake.
 
Back
Top Bottom