Je, nikichukua umeme live toka nyumba nyingine na neutral nyumba nyingine kuna madhara yoyote yatatokea?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Yaani kuna nyumba 3 tofauti katika hizo 3 moja iko kulia nyingine iko katikati na ingine iko kushoto, katika hizo mbili zina umeme na miter zake tofauti, aani ya kulia ila miter yake naya kushoto ina meter yake.

Hii ya katikati haina umeme kabisa sasa nataka niingizie umeme kutoka nyumba zote zilizo na umeme, yaani navuta wire wa live nyumba ya kushoto na wire wa neturo nyumba ya kulia naingiza ndani kwenye hii nyumba ya katikati sasa naunganisha kwenye junction box kusambaza umeme ndani, jekuna madhara yoyote yatatokea?

Ufafanuzi please.
 
Inafanya kazi kama power source ni moja I mean line japo sija elewa sababu ya kufanya hivyo
 
Kwanini usichukue moja kwa moja kutoka nyumba moja wapo?

Lengo la jamaa ni kutuumiza vichwa.

Ona aina ya maswali yake

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…