Je, nikichukua umeme live toka nyumba nyingine na neutral nyumba nyingine kuna madhara yoyote yatatokea?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,809
2,000
Yaani kuna nyumba 3 tofauti katika hizo 3 moja iko kulia nyingine iko katikati na ingine iko kushoto, katika hizo mbili zina umeme na miter zake tofauti, aani ya kulia ila miter yake naya kushoto ina meter yake.

Hii ya katikati haina umeme kabisa sasa nataka niingizie umeme kutoka nyumba zote zilizo na umeme, yaani navuta wire wa live nyumba ya kushoto na wire wa neturo nyumba ya kulia naingiza ndani kwenye hii nyumba ya katikati sasa naunganisha kwenye junction box kusambaza umeme ndani, jekuna madhara yoyote yatatokea?

Ufafanuzi please.
 

bullar

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
6,873
2,000
Inafanya kazi kama power source ni moja I mean line japo sija elewa sababu ya kufanya hivyo
 

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
16,972
2,000
Kwanini usichukue moja kwa moja kutoka nyumba moja wapo?

Lengo la jamaa ni kutuumiza vichwa.

Ona aina ya maswali yake

Hivi sehemu ambayo kumefungwa feni liwe panga boy au kata kiuno (ciling fan) mimi nikatoa hapo lile feni nikaacha ile regulator zile wire za feni nikafunga hapo streight holder na kupachika hapo balbu (eneg sever)hivi nikienda kuwasha kwenye swich na kuzungusha regulator gia 1,2.3.4.5 hivi ile taa itaongezeka mwanga?

Naomba kujuzwa mimi sikusomea umeme na kama haliwezekani tatizo litakuwa nini maana karenti zinazoingia pale na zile zile live na neturo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom