wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Yaani kuna nyumba 3 tofauti katika hizo 3 moja iko kulia nyingine iko katikati na ingine iko kushoto, katika hizo mbili zina umeme na miter zake tofauti, aani ya kulia ila miter yake naya kushoto ina meter yake.
Hii ya katikati haina umeme kabisa sasa nataka niingizie umeme kutoka nyumba zote zilizo na umeme, yaani navuta wire wa live nyumba ya kushoto na wire wa neturo nyumba ya kulia naingiza ndani kwenye hii nyumba ya katikati sasa naunganisha kwenye junction box kusambaza umeme ndani, jekuna madhara yoyote yatatokea?
Ufafanuzi please.