Je, nikichukua umeme live toka nyumba nyingine na neutral nyumba nyingine kuna madhara yoyote yatatokea?

nani atakuwa anacontrol usala wa hiyo neutral ya jirani.

Jitahidi kila jambo linalotokea wewe uwe unawajibika 100% usijekuchoma watoto kwa kosa la mwingine.
Siibi umeme najaribu kujua kuna madhara gani yatatokea endapo nikifanya hivyo. Je?luku itaisha haraka au circuit breaker itatrip au nyumba itakuwa na shot au nini
 
wa stendi bwana ushakura kushi
Ni hivi neutral sio diri sababu source yake Ni ground yaani ardhini kwa hivyo hata ungepata phase(live) ukachukua earth lod ukaigingelea chini still utawaka umeme tu

Nnarud kwenye swali lako
Ndio utawaka ikiwa source ya transformer ni moja Kati ya nyumb A NA B

Ila stendi sio kuzuri
 
masela wa stendi noma.
 
Ahaa kwa hiyo inawezekana hakuna shida yoyote labuda luku itacheza kulika kama zile namba za mashine ya petrol station
 
Back
Top Bottom