Kwa hiyo ajitafakari kwa id yake?Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha. Umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka
Uhayani ni kwa wajomba ,shida Sina Ila wewe ndiye una shida na Mimi Sasa makabila ya watu kuyataja ili iweje ?mhhh uko na shida, halafu una ka uhaya fulani
Hili ni busara zaidi, Kuna baadhi ya vijiji huwa na changamoto za ushirikiano na watu toka mikoa mingine. Ukiona wamefikia hatua ya vikao, basi hali si shwari.je niombe kutoka kabla hawajanitoa wao wakajiona miamba ?
Shukrani sanaBasi, Nimepata jibu. Wewe sio mlevi bali ni mnywaji tena nje ya muda wa kazi. Wana lao jambo Kuwa nao karibu, Wapo waungwana wanao kukubali na kukuelewa watakueleza nini hasa kinachopelekea hayo yote.
Ni kweli mkuuHili ni busara zaidi, Kuna baadhi ya vijiji huwa na changamoto za ushirikiano na watu toka mikoa mingine. Ukiona wamefikia hatua ya vikao, basi hali si shwari.
Dada shida kulewa baada ya kazi kipi nachokosea hapo ?Achana na hizo pombe.
Watakufunza discipline sasa hivi.
KabisaaKwa hiyo ajitafakari kwa id yake?
YeahSauti ya wengi ni sauti ya Mungu,unayo shidaaa...Omba msamaha au hama.
Ndugu Mimi ni muislam ,hili jina nililipenda tu vile watu wanalitamka hivyo Sina ninachojua juu ya maneno usemayoMungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha. Umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka
Waliosema ujinga ni wanakijiji wawili tu ,kwa pale walioshangilia tuhuma zangu kusemwa ni Kama Mia mbili Sasa hapo utasema hawanipendi kweli Kaka ?Wananchi unaosema wapo karibia 700 ndo hao watakaompigia kura diwani,inasaidia nini hata umpe gari ya kampeni diwani na kuwa mpambe wakati anaweza kukosa hata kura zao kwa ajili yako.
Watu 700 haiwezekani wote wawe na wivu na wewe kuna kitu hujaweka sawa
Jitafakari ukishaona kelele zinakuwa nyingi tena kwasababu ya ugimbi hiyo noma kuna mahali rekebisha wanazengo si unawajua.Ndugu Mimi ni muislam ,hili jina nililipenda tu vile watu wanalitamka hivyo Sina ninachojua juu ya maneno usemayo
Ujue umekaa kipombe pombe,Dada shida kulewa baada ya kazi kipi nachokosea hapo ?
Kazi mbona nafanya kwa weledi na kujituma dada ,naonewa Mimi 😭😭
Basi umejibebea tuhuma/hukumu bila kujua.Alichokutafsiria ndiyo maana halisi.Ndugu Mimi ni muislam ,hili jina nililipenda tu vile watu wanalitamka hivyo Sina ninachojua juu ya maneno usemayo
Nabadili jina punde ,wacha nimalize mtanziko huu wa nafsi na kashfa hiziBasi umejibebea tuhuma/hukumu bila kujua.Alichokutafsiria ndiyo maana halisi.
Jina huakisi uhalisia.Nabadili jina punde ,wacha nimalize mtanziko huu wa nafsi na kashfa hizi
Dada sio hivyo ,nilioa miaka ya nyuma kidogo na alhamdulilah mwanamke walipata kumuona pamoja na wanangu wawili.Ujue umekaa kipombe pombe,
Na wanakumulika, halafu hata mke huna, upo tu kama mhuni