georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Ikiwa UDA ni Mali ya wanahisa wote yaani serikali, na Kisena iweje serikali isijue Nini Kinaendelea ndani ya mwendo kasi?
Je? Ni kweli kiasi kilicholipwa na Simon Group Kilitokana na, pesa za Kampuni?
Je? Pesa Hiyo haitokani na mauzo ya UDART?
Ikiwa zinatokana na pesa za mauzo. Je? Rais alikuwa hajui usanii huo?
Je? Wakati anakopa pesa bank ya NMB aliwashilikisha upande wa pili?
Ikiwa hakuwashirikisha je? Alikuwa na maana kampuni ni yake binafsi ya UDART?
kama alijua yeye ni mwanahisa kwanini hakuwashirikisha upande wa pili?
Mwisho. Kweli kuna nia ya kuondoa Ufisadi katika Serikali hii?