ideathinker
JF-Expert Member
- Jul 29, 2024
- 262
- 388
Baada ya kujitathimini nimegundua sina msimamo katika maisha yangu.
Naomba ushauri nifanye nini? Niwe na msimamo thabiti?
Naomba ushauri nifanye nini? Niwe na msimamo thabiti?
Soma VITABU, automatic utajikuta unakuwa hivyo.Baada ya kujitathimini nimegundua sina msimamo katika maisha yangu .
Naomba ushauri nifanye nini ? Niwe na msimamo thabiti?
hasa kuhusu passionmsimamo kwenye nini?
Vitabu kama VP mkuuSoma VITABU, automatic utajikuta unakuwa hivyo.
That's nimekuja huku mie ni Me chipukiziKama wewe Ni jinsia KE endelea kuwa hivyo coz ndio tabia yenu tangu bustani ya Eden.
Lakini Kama Ni ME basi hapo ndo Kuna tatizo
Kwasasa niko kageraunataka mikao gani mana misimamo huna
ndo una balehe ama?That's nimekuja huku mie ni Me chipukizi
hasa kuhusu passion
Kuhusu passion na kile nichohitaji na kusudi la kuzaliwa hapa dunianiMsimamo kwenye jambo gani mkuu,ni lazima useme huwa hauna msimamo kwenye jambo gani maana Kuna mambo hayahitaji msimamo!
Kutapeliwa ?🤔Ngoja utapeliwe kwanza ndo utakuwa na msimamo na kuto kuwaamini watu kwa wepesi
Kinachofanya ukose msimamo ni UMASIKINI mkuu,Masikini wote duniani huwa hatuna msimamo!Kuhusu passion na kile nichohitaji na kusudi la kuzaliwa hapa duniani
Hapa ndio kipengele nayumbishwa sana hapaPassion inaendana na wewe unataka kuwa nani?
Vile unavyojiona unavyotaka kuwa basi jiendeleze kwanzia hapo
Kwa kutafuta maarifa sahihi na mentor sahihi wa kukufikisha katika safari yako
No kijana I meanndo una balehe ama?