Je, niachane na mapenzi kwa sasa?

kweli mkuu utakuta MTU kaomba msaada baada ya kumsaidia wanaenda nje ya mada
Umeona eeh.. Watu tupo njia panda tunahitaji ushauri alaf mtu mara wasomi vilaza mara oohh nini.. I hate this..
 
Kama hajaelewaaa arudi utotoni
 
MKUU POLE SANA KWA UNAYOPITIA .....
MIMI NAONA UFANYE MAWILI,,MOJA JITAHIDI UKAPATANE NAE NA UMUELEZE UKWEL KUA HUNA MAPENZI.NAYE KWAMBA MUWE MARAFIKI TU JAPO HILI ANAWEZA KULIPOKEA KWA HALI YA TOFAUTI SANA NA UTAMUUMIZA SANA MANA INAELEKEA ANAKUPENDA SANA NA ANAONEKANA ANA MAPENZI YA DHAT KWAKO, LAKINI LA PILI NAONA UMKUBALI TU MUWE PAMOJA MWANAMKE HUYO ANAKUPENDA KWA DHATI UNAHITAJI NINI TENA NDUGU YANGU?? ULIEENDA KUMPENDA MWINGINE AMEKUTENDA NA AKAKUONESHA TABIA ZAKE HALISI CHAFU NA ZA KUKATISHA TAMAA ...IKAFIKIA UKAKONDA MWISHO AKAKUACHA...KARMA.....SASA HUJAJIFUNZA TU HAPO KITU NDUGU YANGU? MKUBALI HUYU NA TARATIBU UTAJIFUNZA KUMPENDA NA MTAISHI VIZURI.
 
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri mzuri na kwenye tija ila hata nikisema nijifunze kumpenda pia imani zetu za kidini ni tofauti japo alinambia yupo tayari kubadili dini tatizo litakuwa kwa ndugu zake maana watamtenga na ndoa yetu haitakuwa na baraka za wazazi wa pande zote mbili.. Ki ukweli binti ananipenda sana
 
DAH KUMBE KUNA ISHU YA IMANI.
ILA SASA KAMA AMEAMUA KUBADILISHA DINI KWA AJIL YAKO HIO TU IMENIAMINISHA NILICHOSEMA KUA ANAKUPENDA KWA DHATI, KWAIO KWA ISHU HIO INABID SASA USHIRIKISHE WAZEE UWAONESHE MSIMAMO, ONGEA NAO ILI WAKUTANE NA WAZEE UPANDE WA MWANAMKE ILI MWISHO WA SIKU KAMA MNAENDA KUA KITU KIMOJA BASI MPATE BARAKA ZA WAZAZI. LAKIN HUYO SINA SHAKA ANAKUPENDA.
 
A
Ahsante sana kwa ushauri mzuri mungu akubariki
 
kweli wanaume mnaboa khaaaaaah siwapendi basi tuuu ukiwa unajua huna lengo na mtu kwa nini kumfanyia hivyo alafu yeye alikuamini akakupenda uwiiiiiiiii sasa ukamuaribia na maisha yake kabisa maana kitendo cha kuikosa elimu tena kwa mtoto wa kike daaaaah mpaka aje asimame sio kazi rahisii daaaaah yaani nimeumia utafikiri ni mimi huyo binti alafu mtu asiolewe msema wasichana wanaringa kwa hivi bora nifanye yangu ukinikuta mbele tutaenda lkn ninavyotaka mimi.inaumaaaaaa
 
Mimi sijaaribu maisha yake cause nilikutana nae akiwa tayari amefeli mtihani so alikuwa ana reseet tu.. Hata ivo nimemwambia arudie tena mtihani mwaka huu na mimi ndo ntakuwa namfundisha na hela ya mtihani ntalipa mimi so ubaya wangu uko wapii.. Bado sija ajiriwa lakini najitahidi kumfanya na yeye ajione binadamu.. Sitaki kurudia makosa tena ndo maana nimekuja hapa kuomba ushauri je nimuachaje na asiumie moyo??
 
ni heri basi umueleze ukweli maana ukweli siku zote humuweka mtu huru mueleze kuwa hauko tayari kuwa naye tena sasa unavyokaa kimya hivyo unategemea nini yeye anajiwekea moyoni kuwa wewe ni wake
 
ni heri basi umueleze ukweli maana ukweli siku zote humuweka mtu huru mueleze kuwa hauko tayari kuwa naye tena sasa unavyokaa kimya hivyo unategemea nini yeye anajiwekea moyoni kuwa wewe ni wake
Nahofia kumuumiza sana moyo maana kanizoea sana tena.. Mtu mwenye makosa ni yule alie mzalisha na wakaachana.. Kuna kauli yake moja ndo huwa inaniumiza sana roho.. Anasema alilia sana nlivoondoka na kumuacha sasa mungu kasikia kilio chake na kunirudisha tena kwake... Sasa mtu kama huyu nikimwambia tuachane si nitasababisha msiba.. Na machozi ya mtu huwa hayapotei buree.. Nahofia machozi yake yataitesa sana familia yangu na ndoa yangu huko mbele ya safari
 
inaonyesha hauko teyara kwa ushauri basi mkubali kama alivyo maana kila unachoambiwa wewe unaweka pingamizi kuwa sijui atakuelewa vipi sasa unataka akuelewe vipi wewe kama unajiona ni mkosaji kwake muombe msamaha kwa yote unayoona umemkosea alafu muache pia punguza ukaribu naye mazoea
 
mkuu na wew ni mwandishi wa miziki yetu ileee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…