Je Ni wapenzi wangapi ushawahi kuwa nao?

1 tunda

New Member
Dec 12, 2019
1
0
Mimi binafsi nimetembea na wapenzi watano tangu nilipo jitambua ukweli kuwa na wapenzi wengi naona Ni Jambo nzuri kwani unapata uzowefu wakujua namna ya kuishi na mwanamke .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sisi wanaume wa kitanzania au Africa kuwa na wanawake wengi, kunalenga kwenye kujiona hodari kwenye ngono na sio kujifunza tabia za wanawake, anajifunza ni yule anaekua na mpenzi mmoja kwa kipindi kirefu na anaachana nae pale anaporidhika huyo kwa tabia zake hawawezi kuendelea kua pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom