Kwahiyo Mother Theresa ana makosa si ndio?Kila mtu hulipwa thawabu kwa alichofanya. Ila kutunza watoto wa wengine isiwe sababu ya kuvunja sheria ya kutokuzaa ikiwa unambegu na unauwezo wa kupata mtoto.
Hata mti usiozaa matunda unapaswa kukatwa. Hauna maana
Kumbe mtume wa Mungu aliharibu Injili Tena? Mbona kaandika vitabu vingi hivyo? Basi Biblia haifai
So Bible haifai? Sababu imejaa vitabu vyakePaulo sio mtume wa Mungu
Hujajibu swali.
Hakuna aliekukataza kuzaa.
Dunia imeshajaa.
Kwahiyo Mother Theresa ana makosa si ndio?
Najua ndio, hakuna mtu amemkataza mtu kuzaaUnajua mada inasemaje lakini?
Hata mti usiozaa unaleta kivuli acha kuishi kiformula formula worry about your own seed si kulazimisha wengine kuleta watoto duniani wasiowataka. Mnaongea weeee lakini malezi hamsaidii , hela za matunzo hamtoi so why does your opinion matter??
Nashangaa kuna watu wana wapangia watu namna ya kuishiMkuu this is too general...mimi naamini wapo wasiotaka watoto
100% correctPamoja na gazeti lako reeefu ambalo sijalisoma, bado mtazamo wangu ni uleule...mimi napenda watoto lakini siwezi kuwa msemaji wa kila mwanamke aliyepo chini ya jua kwamba anapenda. Kila mtu ameumbwa na hisia zake, matamanio na akili zake. Hatuwezi kufanana hata siku moja
Imaginehapo jamaa anajiona ana point kweli, hajui kila mtu ana machaguo yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua ndio, hakuna mtu amemkataza mtu kuzaa
Najua ndio, hakuna mtu amemkataza mtu kuzaa
Dunia ipi hiyo?
unajua dunia zaidi ya robo tabu bado haijakaliwa na watu?
Kama umewahi kuzunguka duniani, walau kwenda Ulaya huwezi ongea upuuzi kama huo. Dunia bado sana.
Hio ni defensive mechanism tu, huenda ana tatizi huyo, tena akina dada ndo wanaongoza kupenda watoto
Huyo anatatizo katika uzazi!!
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Na pia kuna watu wana watoto na wanajuta kuwa na hao watoto. Kuna wazazi wanafika mahali wanawakana watoto wao hawataki hata mtu ajue kama huyu ni mtoto wake!
Watu wengi wanazaa ili tu kuondoa ile "nuksi" ya kuonekana kwamba hawana uwezo wa kuzaa, na sio eti kwamba wanapenda watoto. Kuna watu ukiwaangalia unajua tu huyu hakutakiwa kua na mtoto.
Wacha we!Una mawazo na misimamo kama yangu. Ningekuwa andaeitini kama wewe nakuhakikishia usingechomoa; na tungeishi maisha ya uhuru, furaha na amani sana - bila mikatale ya jamii na vifungo vya kimila [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Yah ni kwel lakiniSio kweli, jamii ina watu tofauti wenye mitazamo tofauti, ngoja nikupe mfano, kipindi covid imechanganyia marekani kuna ukurasa maarufu kwenye mtandao wa instagram unaitwa “The shade room” walipost kuuliza hivi; kama una mtoto mmoja na mume wote wameugua korona na kuna mashine moja ya ventilator utampa nani atumie? Kuna dada mmoja alijibu kuwa mi binafsi nitampa mume wangu atumie, nitajaribu kumuokoa mume na sio mtoto. Kiukweli ile kauli ni kali sana na wengine walimzodoa na wengine walimuunga mkono.
Nilimsoma yule dada nikagundua anampenda mume wake na anaweza kumchagua over mtoto wake, na kwenye account yake alikuwa amepost picha zake, za mumewe na za mtoto wao kusindikiza na caption kedekede, i came to realize that, to others watoto ni matokeo tu sio kitu kinachowapa msisimko wa maisha. Sijasema kuwa alivyoandika ndivyo alivyomaanisha kwa sababu mwisho wa siku hatuwezi kujua moyoni mwake, but again that shows ni namna gani dunia ina watu tofauti tofauti wenye mawazo tofauti na yako au yangu.