Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
Mashoga wamefanyaje?Ni kweli,,ila majuto ni mjukuu...kwani hata wale waliochaguwa kuwa mashoga,,,umeshuhudia mwisho wao?japokuwa kila mtu na maamuzi yake lakini uamuzi huo hauna mwisho mwema,,,.na ujuwe kabisa kuna watu wanajuta Leo kwa maamuzi yao ya Jana...
ILI NA WEWE UTESEKE KAMA SISI,Kuna siku nilikua napiga story na mzee mmoja mtu wa makamo na msomi ambaye hua anafanya tafiti kwenye maswala ya maendeleo ya jamii. Tukawa tunajadili swala la kuwa na watoto. Yule mzee aliniambia kitu kilichonifikirisha sana.
Yeye aliniambia, watu wengi hasa katika nchi zetu za Kiafrika wanazaa watoto kwa malengo mawili:
1. Wanawaona watoto kama bima ya uzeeni
2. Presha kutoka kwa jamii inayowazunguka.
Nilipomuuliza ni kwanini jamii inapenda kuona kila mtu akiwa na watoto alinijibu "Unapokua umefikisha umri wa utu uzima, sisi kama jamii tunataka uwe na watoto ILI NA WEWE UTESEKE KAMA TUNAVYOTESEKA SISI!!! Sio sisi wenzio tuwe tunateseka na pilikapilika za malezi, halafu we mwenzetu unainjoy maisha tuu bila stress zozote".
Sawa mkuu,,,,sikulazimishi kuniamini,,,Kama mumewe alikua anapesa, walishindwa nini kupandikiza?
Hizo ni stories za vijiweni za kusukumia kahawa ishuke.
Wewe bila shaka ni kitafunwa,..hukulazimnishwa kusoma wala quote comment zangu.,.Mashoga wamefanyaje?
Inaonesha unapenda sana kuropoka ropoka.
Kuandika hujui halafu unapenda kushusha mi essay,Wewe bila shaka ni kitafunwa,..hukulazimnishwa kusoma wala quote comment zangu.,.
Ni kweli,,ila majuto ni mjukuu...kwani hata wale waliochaguwa kuwa mashoga,,,umeshuhudia mwisho wao?japokuwa kila mtu na maamuzi yake lakini uamuzi huo hauna mwisho mwema,,,.na ujuwe kabisa kuna watu wanajuta Leo kwa maamuzi yao ya Jana...
Haha mkuu hii sentensi yako uliyomalizia umenichekesha sanaKuna siku nilikua napiga story na mzee mmoja mtu wa makamo na msomi ambaye hua anafanya tafiti kwenye maswala ya maendeleo ya jamii. Tukawa tunajadili swala la kuwa na watoto. Yule mzee aliniambia kitu kilichonifikirisha sana.
Yeye aliniambia, watu wengi hasa katika nchi zetu za Kiafrika wanazaa watoto kwa malengo mawili:
1. Wanawaona watoto kama bima ya uzeeni
2. Presha kutoka kwa jamii inayowazunguka.
Nilipomuuliza ni kwanini jamii inapenda kuona kila mtu akiwa na watoto alinijibu "Unapokua umefikisha umri wa utu uzima, sisi kama jamii tunataka uwe na watoto ILI NA WEWE UTESEKE KAMA TUNAVYOTESEKA SISI!!! Sio sisi wenzio tuwe tunateseka na pilikapilika za malezi, halafu we mwenzetu unainjoy maisha tuu bila stress zozote".
Mkuu sio maneno yangu mimi nimem-koti huyo mzee. Ila kiukweli ukija kuchunguza, waafrika hua tuna mentality za ajabu sana. Hata swala la kuolewa, wengi tunapenda kila mtu aolewe ili aende akanyanyasike! Ndio maana watu wanafurahi sana wakisikia unanyanyasika kuliko wakisikia unaishi maisha mazuri yenye amani na furaha. Watu wanafurahi sana wakisikia umefukuzwa kazi, umeachika, umefeli masomo nk.. We huoni Magu akitumbua mtu jinsi watu wanavyoshangilia??Haha mkuu hii sentensi yako uliyomalizia umenichekesha sana
[emoji1787][emoji1787] daah wabongo aliyeturoga kafa, hapo kwa Magu ni juzi tu tulikuwa tunaongea na dada yangu watanzania tuna roho mbaya sana...mtu unafurahia mwenzio kutumbuliwa utadhani hiyo ofisi utapewa wewe khaaMkuu sio maneno yangu mimi nimem-koti huyo mzee. Ila kiukweli ukija kuchunguza, waafrika hua tuna mentality za ajabu sana. Hata swala la kuolewa, wengi tunapenda kila mtu aolewe ili aende akanyanyasike! Ndio maana watu wanafurahi sana wakisikia unanyanyasika kuliko wakisikia unaishi maisha mazuri yenye amani na furaha. Watu wanafurahi sana wakisikia umefukuzwa kazi, umeachika, umefeli masomo nk.. We huoni Magu akitumbua mtu jinsi watu wanavyoshangilia??
Aise mimi ndiyo maana nasema maishani mwangu sitakaa kuishi vile jamii inataka nitaishi vile mimi ninataka. Jamii za kiafrika ukizifuatisha utakuwa mtumwa.Kuna siku nilikua napiga story na mzee mmoja mtu wa makamo na msomi ambaye hua anafanya tafiti kwenye maswala ya maendeleo ya jamii. Tukawa tunajadili swala la kuwa na watoto. Yule mzee aliniambia kitu kilichonifikirisha sana.
Yeye aliniambia, watu wengi hasa katika nchi zetu za Kiafrika wanazaa watoto kwa malengo mawili:
1. Wanawaona watoto kama bima ya uzeeni
2. Presha kutoka kwa jamii inayowazunguka.
Nilipomuuliza ni kwanini jamii inapenda kuona kila mtu akiwa na watoto alinijibu "Unapokua umefikisha umri wa utu uzima, sisi kama jamii tunataka uwe na watoto ILI NA WEWE UTESEKE KAMA TUNAVYOTESEKA SISI!!! Sio sisi wenzio tuwe tunateseka na pilikapilika za malezi, halafu we mwenzetu unainjoy maisha tuu bila stress zozote".
Hapo kwenye kuonekana sasa hapo ndipo penye shida. Yaani mimi jamani acha tu nionekane nitakavyoonekana ila kufuata kila kitu jamii yangu inataka ndiyo nimeshindwa.Na pia kuna watu wana watoto na wanajuta kuwa na hao watoto. Kuna wazazi wanafika mahali wanawakana watoto wao hawataki hata mtu ajue kama huyu ni mtoto wake!
Watu wengi wanazaa ili tu kuondoa ile "nuksi" ya kuonekana kwamba hawana uwezo wa kuzaa, na sio eti kwamba wanapenda watoto. Kuna watu ukiwaangalia unajua tu huyu hakutakiwa kua na mtoto.
Una mawazo na misimamo kama yangu. Ningekuwa andaeitini kama wewe nakuhakikishia usingechomoa; na tungeishi maisha ya uhuru, furaha na amani sana - bila mikatale ya jamii na vifungo vya kimila [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Aise mimi ndiyo maana nasema maishani mwangu sitakaa kuishi vile jamii inataka nitaishi vile mimi ninataka. Jamii za kiafrika ukizifuatisha utakuwa mtumwa.
Huo umri wa 30+ nishauvuka mzee. Nani anataka alete mtoto duniani hata kasweta ka sh 10000 huwezi kumnunuliaMmmh! Mkuu una umri gani? Yamkini bado uko 20s ukifika 30s utajua umuhimu wa kuwa na familia japokuwa neno langu sio sheria.
Hii inawezekana ikawa same applies hata kwenye kulazimishana kuingia kwenye ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nilikua napiga story na mzee mmoja mtu wa makamo na msomi ambaye hua anafanya tafiti kwenye maswala ya maendeleo ya jamii. Tukawa tunajadili swala la kuwa na watoto. Yule mzee aliniambia kitu kilichonifikirisha sana.
Yeye aliniambia, watu wengi hasa katika nchi zetu za Kiafrika wanazaa watoto kwa malengo mawili:
1. Wanawaona watoto kama bima ya uzeeni
2. Presha kutoka kwa jamii inayowazunguka.
Nilipomuuliza ni kwanini jamii inapenda kuona kila mtu akiwa na watoto alinijibu "Unapokua umefikisha umri wa utu uzima, sisi kama jamii tunataka uwe na watoto ILI NA WEWE UTESEKE KAMA TUNAVYOTESEKA SISI!!! Sio sisi wenzio tuwe tunateseka na pilikapilika za malezi, halafu we mwenzetu unainjoy maisha tuu bila stress zozote".
Kwani humjui huyoWapo mitume na manabii wa Mungu ambao walikuja duniani na kuondoka bila kuoa wala kuzaa je hao hawakuwa na mbegu au uwezo wa kuzaa? Au unataka kusemaje labda?
Wanasema daresalama siku za usoni kuna hatari ya kutitia chini bado watu wanalazimishana kuzaa??Mkuu unafikiri bado upo enzi za kina Adam ambapo ilikuwa lazima kuzaa ili kuijaza dunia? Tulia wewe hii dunia sasa hivi imeshajaa ukizaa wewe na yule inatosha siyo lazima kila mtu azae!
Teh teh yawezekana haujanielewa. Nataka ikiwezekana niwe single maisha yangu yote tu.Una mawazo na misimamo kama yangu. Ningekuwa andaeitini kama wewe nakuhakikishia usingechomoa; na tungeishi maisha ya uhuru, furaha na amani sana - bila mikatale ya jamii na vifungo vya kimila [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nisimjue huyo mzee wa bikira tena hapa tukikaa vibaya atabadilisha mada sasa hivi ataleta habari zake za bikiraKwani humjui huyo