Hapo ni kesi tofauti...hivi wale watawa na mafather wanagegeda?au kugegedwa?tuanzie hapo..Wote wangekuwa wanapenda watoto kungekuwa na ma-father na ma-sister? Ama unafikiri watawa wana ulemavu fulani?
Naunga mkono hoja.Mkuu this is too general...mimi naamini wapo wasiotaka watoto
Kwa hiyo kwa mawazo yako unadhani kila mtu aliye nje ya utawa anagegedwa? Btw kwani mtu hawezi kufanya mapenzi kwa lengo la kustarehe tu... lazima iwe kwa lengo la kuzaa?Hapo ni kesi tofauti...hivi wale watawa na mafather wanagegeda?au kugegedwa?tuanzie hapo..
Wapo wengi mkuu,,,mfano mashoga,,wasagaji,,wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile,,, wanaotumia kinga,,wanaomwaga nje,,wote hao wanafanya mapenzi kwa kujistarehesha,,,kuna wanawake wangapi unakutana nao wanakwambiya fanya ,huku mbele naogopa mimba?lakini hakwambii sitaki mtoto,,atakwambiya either muda bado au hajapata mwanaume sahihi wa kuzaa nae,,,,sasa mwanamke au mwanamme kamili aseme mimi sitaki mtoto,,,tena ana over 35 huyo ni wakuogopwa kama ukoma..,,pana shida mahaliKwa hiyo kwa mawazo yako unadhani kila mtu aliye nje ya utawa anagegedwa? Btw kwani mtu hawezi kufanya mapenzi kwa lengo la kustarehe tu... lazima iwe kwa lengo la kuzaa?
Raha yake Ni ipi ?Mtoto ana Raha yake Jamani..ila hapo kwenye aya ya pili naunga mkono hoja.
Sababu kwa nini mtu hataki mtoto ndio hutofautiana lakini usiseme hakuna mwanamke asiyetaka mtotoWapo wengi mkuu,,,mfano mashoga,,wasagaji,,wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile,,, wanaotumia kinga,,wanaomwaga nje,,wote hao wanafanya mapenzi kwa kujistarehesha,,,kuna wanawake wangapi unakutana nao wanakwambiya fanya ,huku mbele naogopa mimba?lakini hakwambii sitaki mtoto,,atakwambiya either muda bado au hajapata mwanaume sahihi wa kuzaa nae,,,,sasa mwanamke au mwanamme kamili aseme mimi sitaki mtoto,,,tena ana over 35 huyo ni wakuogopwa kama ukoma..,,pana shida mahali
Kwa hiyo kwa mawazo yako unadhani kila mtu aliye nje ya utawa anagegedwa? Btw kwani mtu hawezi kufanya mapenzi kwa lengo la kustarehe tu... lazima iwe kwa lengo la kuzaa?
Basi sawa,,aendelee kula ujana mwishowe atasimangwa na watoto wa wenzieSababu kwa nini mtu hataki mtoto ndio hutofautiana lakini usiseme hakuna mwanamke asiyetaka mtoto
hahahhhahaaaa.yaani sie nikugegedana tuu bila majukumu ya ada wala nini...tunatalii dunia tuu.
Nawachora tu. Mm binafsi maisha navyoyaona magumu uniambie nitafute mtoto. Hapana Mungu anisamehe tu, labda aniinue hapa nilipo kidogo nitawaza nioe. Nimlete mtoto duniani aje apate shida kusoma shule azieleweki kisa baba yake sina hela. Bora nife bila chata ila sileti mtoto aje aishi maisha ya tabu. Huyo Dada yupo sahihi kwa mtazamo wake.
Nawachora tu. Mm binafsi maisha navyoyaona magumu uniambie nitafute mtoto. Hapana Mungu anisamehe tu, labda aniinue hapa nilipo kidogo nitawaza nioe. Nimlete mtoto duniani aje apate shida kusoma shule azieleweki kisa baba yake sina hela. Bora nife bila chata ila sileti mtoto aje aishi maisha ya tabu. Huyo Dada yupo sahihi kwa mtazamo wake.
Dunia ina watu bilioni 7. Siyo kila mtu anatamani unachokitamani wewe. Usilazimishe. Juzi huko Malawi, kuna mtu kakataa uwaziri wa sheria. Usiseme watu wote bilioni 7 tuko sawa. hii ni sawa na wale wanasema kuwa ni lazima Babu Tale ajenge nyumba nzuri kijijini kwao. Siyo lazima, nilisema juzi hapa jukwaani. Tale ana maamzi yake pia.
Sio kila mtu ameumbwa kuwa mama. Ndio maana matukio ya kikatili yanatokea, na hii ni kutokana na mitazamo yetu ya kiafrica kwamba lazima kila mtu awe na mtoto. Personally najua wadada 2 wasiotaka watoto na kaka 2. Tena wakaka wameoa na hawataki watoto.Nijuavyo mimi wengi wanataka watoto, lakini yawezekana kwa sababu fulani, mtu atasema hataki watoto.
Huyo mdada ukifuatilia sana yawezekana alisha toa mimba vya kutosha na kuharibu kizazi au tayari wamesha kiondoa kizazi chake. Sasa ili kukwepa maswali, anajifariji kuwa hataki mtoto.
Piayawezekana ni kirukanjia na anaona kuwa na watoto kutamshishia adhi yake ya kutumiwa na wanaume (Ukahaba)
Watu hawazai watoto kwa ajili tu ya kuwasaidia hapo baadae, bali ni agizo la Mungu kuwa watu wazliane.
Kama mumewe alikua anapesa, walishindwa nini kupandikiza?Mkuu sio kwa age yake huyo Dada, ,hapo ni jioni tayari...ameshahangaika sn tu,,bila mafanikio,,ndy analeta kauli hizo...hakuna asiyetaka mtoto mkuu,,,wapo watu wana kila kitu lakini wanaumia sn sababu hawana watoto,,,hivi u wanaume wako upo wapi kama huwezi kudunga mwanamke mimba?hivi uanamke wako upo wapi kama huwezi kufunga mimba?hicho kitu kinawaumiza sn mkuu.,..nikupe mfano mmoja,,,yupo Dada Fulani kaozesha mwanawe kwa jamaa Fulani anapesa zake,,,huu ni mwaka wa kumi na tano jamaa hajapata mtoto,,,wamekwenda kupima hospital kaonekana mume ndy ana matatizo ya uzazi..sasa tabu inakuja mke anataka mtoto,,mume anamwambiya tuishi kwa kulea watoto wa watu,,,mwishowe mama Mkwe akamshawishi mwanae wa kike adai talaka,,,ili aachwe ,,akaolewe pengine aweze kuzaa,,,kesi ipo bakwata,,jamaa hatoi talaka,,,mke kaamua kuacha kila kitu kwa mumewe nyumba,,magari kaacha sababu tu,,na yeye aitwe mama,,,kwahyo mkuu Mimi siamini kama kuna watu hawataki watoto,,,unaweza usihitaji mtoto kwa kipindi Fulani cha maisha,,,lakini sio kuanzia miaka 35 useme sihitaji mtoto,,ni kauli ya kuangaliwa kwa jicho la tatu... Kwa kifupi ni kauli ya kukata tamaa
Sababu kwa nini mtu hataki mtoto ndio hutofautiana lakini usiseme hakuna mwanamke asiyetaka mtoto