Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

sababu zake za msingi za kukataa kuzaa ni zipi?
 

Nijuavyo mimi wengi wanataka watoto, lakini yawezekana kwa sababu fulani, mtu atasema hataki watoto.
Huyo mdada ukifuatilia sana yawezekana alisha toa mimba vya kutosha na kuharibu kizazi au tayari wamesha kiondoa kizazi chake. Sasa ili kukwepa maswali, anajifariji kuwa hataki mtoto.
Piayawezekana ni kirukanjia na anaona kuwa na watoto kutamshishia adhi yake ya kutumiwa na wanaume (Ukahaba)
Watu hawazai watoto kwa ajili tu ya kuwasaidia hapo baadae, bali ni agizo la Mungu kuwa watu wazliane.
 
Mtoto ana Raha yake Jamani..ila hapo kwenye aya ya pili naunga mkono hoja.
 
Mdada ana matatizo ya kisaikolojia!Anahitaji msaada sana!!!Amuone daktari asaidiwe!!!HAKUNA ASIEPENDA KUACHA KOPI DUNIANI!!
 
Nakuunga mkono.

Wapo wasiotaka kupata watoto

Ila nyuma yake kunakuwa kuna sababu nzito
Ni ngumu mno kikawaida mtu ana uwezo wa kupata mtoto, na asiamue tu kupata, ngumu mno yaani aishi maisha yake yote hivyo! Kuna kuwa kuna sababu nzito! Ambazo nyingi zipo nje ya uwezo!

Wewe binafsi una watoto/mtoto?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
asipokuelewa basi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina mtoto na sijawahi kutafuta.(sio kwamba sipendi) Na ninaamini siku nikitafuta nitampata mara moja
 
Nakubaliana naye kwenye kujiandaa mwenyewe kwa maisha ya uzeeni hata kama una watoto.
 
Dunia ina watu bilioni 7. Siyo kila mtu anatamani unachokitamani wewe. Usilazimishe. Juzi huko Malawi, kuna mtu kakataa uwaziri wa sheria. Usiseme watu wote bilioni 7 tuko sawa. hii ni sawa na wale wanasema kuwa ni lazima Babu Tale ajenge nyumba nzuri kijijini kwao. Siyo lazima, nilisema juzi hapa jukwaani. Tale ana maamzi yake pia.
 
Kuna wanawake wavivu kubeba mimba akizaa hata mmoja hataki kabisa kusikia hekaheka za mimba maana ule mtiti sio kabisa, inawezekana alipata mimba na kutoa akaona mziki huo hauwezi au ndo wale wapenda vinyau au vimbwa kuliko watoto yote yanawezekana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] afadhali umemwambia maana humu Jf bhana kupenda kuforce mawazo yao yawe ya kila mtu wanachekesha kweli
 
Sawa mkuu,,,endelea kusaporti ....sizitaki mibichi hizi
 
Ila sio lazima uwe na mtoto ndo uwe umefanikiwa ila asee kiafrica tuzaane tu maana hakuna namna tena jitahidi watoto kuanzia wanne
Mkuu pengine mtoto hana umuhimu kama ungali bado kijana, ,,lakini umuhimu wa mtoto ni pale nguvu zinapokuishia,,,,na umeshakuwa mzee,,,mtoto ndy ndugu yako wa kweli...Mara nyingi mtoto wa mwenzio hawezi ficha aibu yako kwa 100%.....nimeshihudia kwa bibi yangu mmoja,,,hakujaaliwa kupata mtoto,,alidhalilika sn...MUNGU amrehemu,,,wengi watakupenda kinafiki tu...sababu ya ulichonacho,,,
 
Ni kweli,,ila majuto ni mjukuu...kwani hata wale waliochaguwa kuwa mashoga,,,umeshuhudia mwisho wao?japokuwa kila mtu na maamuzi yake lakini uamuzi huo hauna mwisho mwema,,,.na ujuwe kabisa kuna watu wanajuta Leo kwa maamuzi yao ya Jana...
 
Labda yule anayekula raha kuliko watu wote duniani asiyekusika mteule wa baba anasetoka jamhuri ya watu wa chato mtakatifu Albert daudi Bashite peke yake ndio hatamani kua na watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…