Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,819
- 9,171
Mlikuwa katika mahusiano na hamkuwahi kukubaliana kuzaa mtoto, bahati mbaya au mzuri mkatiana mimba mtoto akazaliwa,
Je, huyo mama wa mtoto ana haki yoyote ya kumchukulia hatua baba wa mtoto endapo hatakuwa anatoa huduma kwa mwanaye?
Kumbuka, hawakuwa na makubaliano ya kuzaa, mama mtoto alikuwa anamchuna jamaa na jamaa alikuwa anamtumia mama mtoto kama kipezeo.
Wangazija nao wanasema "Ukitiwa mimba pasipo kuolewa umeamua kuwa kuku,vifaranga vyako havimhusu jogooNdo maana nishasikia wazungu wanasema 20 years ago two people decided to have unprotected sex...now they want me to feed myself....
Daaaaah...it's your fault am in this world...feed me, cloth me educate me... Give me good shelter... You wanted a kid did I ask to be born ?
Mnanitia hasira ujuendandambuli unahitaji viboko kwa uzwazwa ulionao.
Aaaaah! taratibu mkuu,wazazi wako ndio Mungu wa pili dunianiAchilia mbali ambae hajakulea,hata aliekulea tangu uko kwenye mawazo yake,ukaingia tumboni,ukazaliwa akakulea mpk unajitegema hamna kitu inaitwa Laana chini ya JUA,ukiona amekutamkia et ulaaniwe na hutofanikiwa milele na kweli hujafanikiwa ujue ni Uzembe wako tu kwenye maisha yako wala sio yale maneno (laana) aliyokutamkia baba/mama.
Ndo maana Mimi nimeamua kuwa sista tu....Wangazija nao wanasema "Ukitiwa mimba pasipo kuolewa umeamua kuwa kuku,vifaranga vyako havimhusu jogoo
sawaAaaaah! taratibu mkuu,wazazi wako ndio Mungu wa pili duniani
Peleka ujinga wako hukoKWELI...Zinaaa haijawai muacha mwanamke salama...
Ndo maana Mimi nimemua kuwa sista TU sasa
Muhuni tuu huyo nimemla kimasihara juzi Kati hapaUnamaanisha ukiwa sister hupati hamu?
Mimba ina miez mingp mzee baba?Mtoto ni wa aliyeamua kuzaa sio mimi,Kama alikuwa hatunzi alizokuwa ananichuna lazima ile kwake
Naona UMEPAGAWA..... Chukua maji unywe...Peleka ujinga wako huko
Tangu lini Muslim akawa sister??
Yaan ushaliwa kimasihara ndiyo unataka usister never
Unajua sifa za kuwa sister??
Mtoto ana mwaka Sasa mzee babaMimba ina miez mingp mzee baba?
sista wa katoliki au sista du?KWELI...Zinaaa haijawai muacha mwanamke salama...
Ndo maana Mimi nimemua kuwa sista TU sasa
Makubaliano yalikuwa kutoa ganzi na kumpa pesa,hayo ya kujikinga haikuwa kazi yangu,ndio maana hata angeniambukiza ukimwi asingewajibika kwa loloteMakubaliano ni pale ulipofanya mapenzi bila kinga na asubuhi asitumie dawa ya kuzuia ujauzito.
Wa nje ya ndoa hakuwa katika makubaliano ya kuzaa katokea kwa bahati mbaya kwasababu ya uzembe wa mama yakeTuanize hapa mtoto wa nje ya ndoa ana alama gani inayomtofautisha na wa ndani ya ndoa ukipata jibu nijulishe