Hao na. 1,2, na 3 wataondoka kwa sababu sio wenzetu wa kithuthio.Kutokana na mienendo yao sasa hv, ni wazi wabunge wafuatao ni ngumu kurudi tena bungeni ama waapata changamoto nyingi sana kurudi bungeni
1.Saed Kubenea(Ubungo): huyu amewaangusha sana upinzani tulitegemea alete changamoto nyingi sana bungeni awe front line na kina tundu lissu,mbowe na mnyika bungeni , lakini kumbe nguvu yake ni ya kalamu tuuu, atapata upinzani mkubwa sana kama Boniface jacob meya wa ubungo na mentor wake kisiasa ataamua kugombea ubunge, viel vile kuwa mbunge wa ubungo needs much creativity kwasababu ni jimbo lenye changamoto nyingi ,ushauri aende kugombea kwao mafia
2.Micheal Jaffary.(Moshi Mjini):kumekuwa na mgogoro mzito katika chama chake hasa wilaya, na inesemekana haelewani vizuri na ndesamburo ambaye ni mwenyekiti wake mkoa, huyu anaweza asifurukute kura za maoni. lakini amekuwa na hoja nzuri sana jimboni na mchapakazi kwa wapiga kura wake
3.Joseph Mbilinyi (Mbeya Mjini): Huyu namuona kama hayupo serious sasa hv, anafanya vitu kimasihara sihara, anatakiwa ajipange sana kwani hajui CCM wamejipanga vipi mbeya mjini na anaweza kupata upinzani mkali pia ndani Chama, naona amefocus sana na maisha yake binafsi na hoteli yake anayojenga. ujana bado pia unamsumbua
4.Magdalena Sakaya(Kaliua): Mahaba kwa Prof.Lipumba yamemponza, kwani mpaka sasa hv hajui hatma yake kisiasa, ni kama ameweka jimbo lake rehani kisa Lipumba, kwasasabu ameshafukuzwa uanachama. anasubiri hatma ya mahakama
5.Maftah Nachuma(Mtwara Mjini): Huyu nae sijui pepo gani lilimwingia, Mahaba kwa Prof.Lipumba yamemponza pia, nae ni mbunge wa mahakama kwani alishafukuzwa Uanachama, naona vijana wengi wa sasa hv hawajui mahesabu yao kisiasa, ajifunze kwa Machali
Na hao 4 na 5 hawatakiwi na CHADEMA.Kutokana na mienendo yao sasa hv, ni wazi wabunge wafuatao ni ngumu kurudi tena bungeni ama waapata changamoto nyingi sana kurudi bungeni
1.Saed Kubenea(Ubungo): huyu amewaangusha sana upinzani tulitegemea alete changamoto nyingi sana bungeni awe front line na kina tundu lissu,mbowe na mnyika bungeni , lakini kumbe nguvu yake ni ya kalamu tuuu, atapata upinzani mkubwa sana kama Boniface jacob meya wa ubungo na mentor wake kisiasa ataamua kugombea ubunge, viel vile kuwa mbunge wa ubungo needs much creativity kwasababu ni jimbo lenye changamoto nyingi ,ushauri aende kugombea kwao mafia
2.Micheal Jaffary.(Moshi Mjini):kumekuwa na mgogoro mzito katika chama chake hasa wilaya, na inesemekana haelewani vizuri na ndesamburo ambaye ni mwenyekiti wake mkoa, huyu anaweza asifurukute kura za maoni. lakini amekuwa na hoja nzuri sana jimboni na mchapakazi kwa wapiga kura wake
3.Joseph Mbilinyi (Mbeya Mjini): Huyu namuona kama hayupo serious sasa hv, anafanya vitu kimasihara sihara, anatakiwa ajipange sana kwani hajui CCM wamejipanga vipi mbeya mjini na anaweza kupata upinzani mkali pia ndani Chama, naona amefocus sana na maisha yake binafsi na hoteli yake anayojenga. ujana bado pia unamsumbua
4.Magdalena Sakaya(Kaliua): Mahaba kwa Prof.Lipumba yamemponza, kwani mpaka sasa hv hajui hatma yake kisiasa, ni kama ameweka jimbo lake rehani kisa Lipumba, kwasasabu ameshafukuzwa uanachama. anasubiri hatma ya mahakama
5.Maftah Nachuma(Mtwara Mjini): Huyu nae sijui pepo gani lilimwingia, Mahaba kwa Prof.Lipumba yamemponza pia, nae ni mbunge wa mahakama kwani alishafukuzwa Uanachama, naona vijana wengi wa sasa hv hawajui mahesabu yao kisiasa, ajifunze kwa Machali
Umetumia vigezo vipi kusema hawatarudi? Ww mwenye shamba tulia utaona uliowataja watakavyoibuka kidedeaKuna hawa,1.lorencia bukwimba wa busanda,2.kanyasu wa geita mjini hawa watu kama uchaguzi utakuwa wa haki hawatarudi kamwe bungeni.hawajui majukumu yao kbs
Brain yako inautitiriHiyo sio hoja
kwa binafsi yangu sipendi kuwaona tundu lisu na halima mdee kwani kazi yao kubwa ni kukashifu serikali huku wapiga kura wao wakiwa na kero lukuki mfano singida mashariki ipo nyuma sana kielimu maji safi ni tatizo kubwa na mbunge hana jitihada zozote za kutatua shida hizo kazi yake ni kukashifu serikali na kujilimbikizia madaraka yasio na manufaa kwa wapiga kura wake
Tuwavumilie tu, ile wilaya iliyo wazi ikishapata mkuu wake nadhani haya yatakwisha!Huna hoja acha njaa kali
mwenye hoja sema toka tundu lissu awe mbunge kawafanyia nini wana singidaHuna hoja acha njaa kali