Je, ni wabunge wapi usingependa kuwaona bungeni na kwasababu ipi baada ya uchaguzi wa 2020

Wanaikashifu serikali? Kivip? Ebu fafanua hapo kwanza then nami nikupe list ya wabunge wa hovyo pale mjengoni
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli
Lisu na mdee wana siasa za kipumbavu wasipostuka mapema itakula kwao

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Lusinde (std 7 ya kuungaunga)
Msukuma (std 7 ya kuungaunga)
Viti maalumu
Naibu spika
Ndugai
hata ma-ccm wote
 
Maskini nchi yangu Tanzania,
Ninchi hii ambapo barabara zikiwa mbovu,maji yakikosekana,hospitalini hamna dawa analaumiwa mbunge
Jamani mbunge hakusanyi kodi
 
Kwa binafsi yangu sipendi kuwaona Tundu Lisu na Halima Mdee kwani kazi yao kubwa ni kukashifu serikali huku wapiga kura wao wakiwa na kero lukuki.

Mfano wa Lissu ni singida mashariki ipo nyuma sana kielimu maji safi ni tatizo kubwa na mbunge hana jitihada zozote za kutatua shida hizo kazi yake ni kukashifu serikali na kujilimbikizia madaraka yasio na manufaa kwa wapiga kura wake upande wa Mdee alishindwa kutatua mgogoro wa ardhi Mabwepande mpaka mkuu wa mkoa Bw Paulo Makonda akafanya
binafsi nisingependa kuwaona wazee kama endrew chenge
sisemi hawajafanya kazi ila ifike hatua wazee wetu nao wajifunze kuwaachia wengine.
 
Piga ua, baada ya uchaguzi mkuu 2020, Wanbunge wengi sana hawatarudi Bungeni. Mh Rais, Dkt JPM yupo pale juu juu, ndo mwamuzi wa nani apite ,nani abaki..maana wengi hutumia pesa sana kushawishi watu maskini huko vijijini. Wengi hawanaga hoja za kuwashawishi wananchi bila kuhonga mapesa yao.

Mh Rais nakuaminia, kuo mkasi tunaomba uunoe vizuri uongeze makali. Wabunge wahongaji huko majimboni naomba uwakatilie mbali. Maana wengi saivi wameshajificha huko mijini, hata simu zao hazipatikani, na ikipatikana anakata fasta.
 
Naanza na profesa j mbunge wa mikumi kwa tiketi ya chadema,ccm wanachukua lile jimbo mchana kweupe
 
Back
Top Bottom