Ndugu naombeni ushauri wenu kuna mke wa mtu anasema anataka avunje nyumba ili nimuoe maana ananipenda sana kuliko mfano,na anadai anauwezo wa kuvunja nyumba yake ndani ya mwezi mmoja,nilipo mwuliza atatumia njia gani alinambia ni rahsi maana yeye mume wake ana mke mwingine huko anako fanyia kazi.Niliwahi kutembea nae na kumpa ujauzto nikamwambia autoe,na tulifanikiwa kuitoa hyo mimba sasa anataka mimi ni muoe.Nafanyeje ukweli hata mimi nakubali ananipenda je? nifanyeje! naomba ushauri wa haraka ndugu zangu.