Labda huyo mwanaume ni houseboy analipwa kufanya kazi hiyo, lakini kama ni suala la mahusiano ya kimapenzi hii haijakaa poa kabisa...
Kuna shida gani kuchukua na kuzitupa kwenye washing machine unabonyeza dakika unaziacha kwa muda kisha dili kwisha..mbona ni kitu kawaida kwa haya maisha ya Dot.com?
Swissme
Labda huyo mwanaume ni houseboy analipwa kufanya kazi hiyo, lakini kama ni suala la mahusiano ya kimapenzi hii haijakaa poa kabisa...
Explain
swissme.
Kwa mahubiri ya jana ya mzee wa upako nilitegemea mada kama hii JF, hakuna ubaya wowote alimradi anafanya hivyo kwa moyo wa upendo na si kulazimishwa.
Kuna shida gani kuchukua na kuzitupa kwenye washing machine unabonyeza dakika unaziacha kwa muda kisha dili kwisha..mbona ni kitu kawaida kwa haya maisha ya Dot.com?
Swissme
wewe unaona ni sawa sawa kuwa na mwanaume anayekufulia nguo!!??, utakua ni mwanamke wa ajabu sana kutaka kuwa na mwanaume inferior, imagine mwanaume wako mtaani wanamuita Bushoke sababu ya kukufulia nguo utakua unajisikiaje!!??
Kwanini usiziweke mwenyewe kwenye hayo madude yenu ya dot com?
Kwa mahubiri ya jana ya mzee wa upako nilitegemea mada kama hii JF, hakuna ubaya wowote alimradi anafanya hivyo kwa moyo wa upendo na si kulazimishwa.
I don't know how to explain to you by the way. Unaweza lakini sio kwa kulazimishwa my be she's doing something else or she's sick just like that.but not by forceKwanini usiziweke mwenyewe kwenye hayo madude yenu ya dot com?
Nakupa hongera kwa kujitambua mkuu,watu wengi wanaolalamika kuchapiwa na kusumbuliwa na wanawake ni wale wasiojitambua kwa kuhalalisha huu ujinga wa kuwanyenyekea na kupoteza mamlaka ya asili_nafikiri ni kujaribu kukwepa majukumu yao ya msingi ndio mwanzo wa kukumpromaizi kwa kila kitu.