Je ni sawa kum-save hivi

Jul 14, 2021
25
26
Kumekuwa na utaratibu wa kuwasave watu kwenye sim kwa staili ambayo mmiliki anaiyelewa mwenyewe.mf. jina la mwenye namba ju.

Anasave J. au mwenye namba Amina anamsave ahamadi ni sawa.
 
Simu yake na yeye ndio anawajua hao watu anao wa save, shida iko wapi mkuu?
 
Ndo zako nini

Sijui kwa sababu mimi nna save kwa utaratibu wangu, sasa mtu akija kusema naandika vibaya majina au watu itakua ananionea, anaingilia uhuru wangu wa kutumia simu yangu.
 
Back
Top Bottom