Je ni sahihi mtoto wa kike mwenye miaka 15 kumiliki simu(smart phone) huku bado anasoma?

Hakuna kitu kibaya kama simu hizi, nawapa ushauri wa bure tu hakuna kumpa simu mtoto wa kike hasa hizi smart phone, najuwa unaweza kuitwa mshamba na majina kibao ila kwa kiasi utakuwa umefanya juhudi japo sio solution 100% lakini kama mzazi utakuwa umemsaidia mtoto kwa kiasi kikubwa. Mimi binafsi sijampa simu na kisha zoea hiyo hali tu iko siku atanishukuru tu japo kwa sasa anaweza kuniona kama kikwazo kwake siku atajuwa na yeye akija kupata watoto atajuwa njia sahihi. sio kila wanachotaka watoto wapewe wakati mwingine sema NO.
 
Back
Top Bottom