Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 814
- 1,646
- Thread starter
- #21
Dah kabisa suti zako ulizokua unatamba nazo na ubonge wako wanazipunguza wanavaaDunia hii, msiba ni wa kwako, kwa wengine ni fursa, kuanzia muosha maiti, muuza jeneza, wagombania urithi n.k
Jitahidi kujipa furaha pale unapopata nafasi ya kuishi.