kawaida tu kulingana na vile wanavyolichukulia wanafamilia[/QUOTEpoa nimekupata
Ni kweli aisee ila mm nilikua natazama na kwa upande mwingine why wao ndo wasilale sebuleni au chini?Dunia ya sasa imechafuka sana.
Bora hata watoto wawapishe wageni watandike godoro walale sebuleni kuliko kufikiria kuwalaza watoto pamoja na wageni.
Ila kama uwezo unao bora uwatafutie wageni hoteli ya jirani wakalale huko.
Mfano huna chumba cha wageniWageni watalala chumba cha wageni, watoto chumba cha watoto.
nawaambia sinaMfano huna chumba cha wageni
Wakalale tu Mwakaleli guest houseMfano huna chumba cha wageni
Unamaanisha *Ni* au *Si* vizuriMgeni ni vizuri kuwalaza wageni sebuleni ili wasikae sana kulinda utu wa mtoto.
Ila ni vizuri kujenga nyumba kubwa kwaajili ya kuwa na nafasi ya kutosha kwa ajili wageni.
Ni vizuri kuwalaza wageni sebuleniUnamaanisha *Ni* au *Si* vizuri
Siyo sawa kabisa. Wageni walale sebuleni na watoto wabaki kwenye chumba chao. Huu ukarimu ndo umekomaa hadi kwenye mambo muhimu ya kitaifa, kama vile kuruhusu wageni kuchukua madini yetu bure halafu wanatuachia mashimo. Haina tofauti na kulala sebuleni na kumpisha mgeni chumbani.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us