Je, ni sahihi kupokea tuzo hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, ni sahihi kupokea tuzo hii?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Sep 21, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Tanzania imepokea tuzo kwa kuandikisha watoto darasa la kwanza 95% kwa Afrika kama sehemu ya utekelezaji wa MDG 2 (HabariLeo 21/09/2010). Kutokana na reports za MDGs ni asiye mwelewa wa MDG 2 ndio atakubali tuzo hii.

  MDG 2 reads ‘achieve universal primary education’ in short it is UPE; its target is ‘Ensure that, by 2015, children everywhere, boys and girls alike, will be able to complete a full course of primary schooling’

  What will it take to meet the education target?
  Full enrolment or access to education, however, is only part of the solution. Completion of a full course of primary schooling is necessary to achieve universal primary education.

  Source: Millennium Development Goals Report 2009 http://www.un.org/millenniumgoals/pdf/MDG%20Report%202009%20ENG.pdf


  Sasa hiyo Award inaendana kweli na target ya MDG 2 ya kuhakikisha wote wanaoandikishwa wanamaliza shule?

  MDG 2 inadai quantity iendane na quality “Achieving universal primary education means more than full enrolment. It also encompasses quality education, meaning that all children who attend school regularly learn basic literacy and numeracy skills and complete primary school on time.”(MDGs report 2008 http://www.un.org/millenniumgoals/pdf/The%20Millennium%20Development%20Goals%20Report%202008.pdf). Je, tunatekeleza ili?

  Serikali ya CCM inatakiwa kupokea Award kutoka UN baada ya kuifikia hiyo target na sio kujisifia kupokea award kutoka kwenye institution isiyokuwa na Authority na bila kufikia hiyo target!!
   
Loading...