farazuu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 379
- 497
Wadau nikiri nilinunua laptop mwaka 2010. Mara ya kwanza nikatumia ikafa betri. Nikanunua nyingine HP imekaa miaka kadhaa ikapunguza kukaa na chaji kabisa.
Swali ni je ipi sahihi kuchaji laptop muda wote unapotumia au ikifika 100% nitoe chaji ikipungua ni disconnect?
Nimeagiza PC ya kisasa latest nataka nitumie bila kuumiza betri.
Sent using Jamii Forums mobile app