Je, ni sahihi Kanisa Katoliki kuzuia Waumini wake kwenda kuombewa kwa Mtume Mwamposya?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,979
Inasemekana baada ya Kanisa Katoliki Iringa kuwataka Waumimi wake walioombewa na Mtume Mwamposya kutubu sasa katazo hilo ni kwa nchi nzima.

Je, ni sahihi Kanisa Katoliki kuzuia Waumini wake kuombewa kwa Mtume Mwamposya?
 
Je ni sahihi Kanisa Katoliki kuzuia Waumimi wake kuombewa kwa Mtume Mwamposya
Swali lako umelielekeza Kwa nani Jo?
 
Ec8-umWXkAE5iBx.png
 
Inasemekana baada ya Kanisa Katoliki Iringa kuwataka Waumimi wake walioombewa na Mtume Mwamposya kutubu sasa katazo hilo ni kwa nchi nzima.

Je, ni sahihi Kanisa Katoliki kuzuia Waumini wake kuombewa kwa Mtume Mwamposya?
Ni utashi wa kiongozi, sidhani Kama ni misimamo ya kanisa.
Ila Kama ni misimamo ya kanisa basi nadiriki kusema WAMEPUYANGA
 
Wagalatia msio na akili ni nani kawaloga? Hazijawafikia habari za manabii wa uongo? Mbona hata biblia yenu imewaonya lakin mnavichwa maji
 
Inasemekana baada ya Kanisa Katoliki Iringa kuwataka Waumimi wake walioombewa na Mtume Mwamposya kutubu sasa katazo hilo ni kwa nchi nzima.

Je, ni sahihi Kanisa Katoliki kuzuia Waumini wake kuombewa kwa Mtume Mwamposya?
Kwani kanuni ya imani (nasadiki, credo) unayokili kila siku hasa kwenye misa za jumapili inasemaje ?. Au huwa umeikariri tu kama chiriku ?.

Afu rejea Kiapo chako cha ubatizo.
 
Back
Top Bottom