Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,310
- 5,157
Habari wanajamvi, naamini MUNGU bado anasaidia mpaka tumeiona Aprili
Moja kwa moja kwenye topic,
Je,ni sahihi mtangazaji wa dini fulani kutangaza kwenye radio/TV ambayo si dini yake?
Mfano Josefu, Rose, Marie kuwa mtangazaji/mfanyakazi wa upande mwingine
Au Fatma,Ahmed kuwa side B, upi u sahihi?
NB: Uzi huu hapo kwenye muktadha wa kidini hivyo comment za udini hapa si mahali pake
Pia majina siyo alama ya utambulisho wa dini ya mtu.naweza kuitwa Abdul ilhali Mimi ni upande mwingine
Haya nini maoni yako,tiririka kwa faida ya wengi