Je ni sahihi hii kauli

Watu wengi au kalibia watu wote hutumia hii kauli je ni sahihi

Nilimkuta hayupo πŸ˜‚

Una mkutaje mtu af mda huo huo ana potea wajuzi wa lugha tupeni muongozo hii imekaaje?
Kiswahili kitarafa hicho mwanawane.

Ni maneno ya kiulaloulalo yanayo tumiwa na wahusika flani kwa mawasiliano.

Mbona viswahili viraka ni vingi sana mitaani mkuu?

Haujasikia dume zima linamwambia mwanamke 'nakutaka' likimaanisha 'nakutamani'?

Ya mtaani huwezi kuyamaliza.
 
Embu tu chambue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…