Kila kitu ni silaha, inategemeana wewe mwenyewe unavyokitumia..
Basi leo mmeongea points tupu.Silaha ata mkono wako silaha tosha mawe pia silaha tosha
Unatupa zawadi gani? 😆Basi leo mmeongea points tupu.
Mchague wenyewe.Unatupa zawadi gani? 😆
Mswaki ni silahaKila kitu ni silaha, inategemeana wewe mwenyewe unavyokitumia..
Kama haipoMchague wenyewe.
Itakosekanaje?Kama haipo
Udelete account ya jfMchague wenyewe.
Ikawa zawadi ni mchangiaji mwenyeweItakosekanaje?
Unataka kwenda hukoKwahiyo huko nje unapaki tanker/ kifaru raha sana
kubeba silaha baridi rukhsa Tanzania,Ikiwa ni ruhusa labda mtu awe na kibali ,ni urahisi upi uliopo wa kupata kibali ?
Kuna nchi hizi za dunia ya tatu wananchi wanabeba silaha,hapo Somali ni kawaida kumkuta mtu ana kifaru nje ya nyumba ,Yemeni watu wazima mjini na watoto mnijishamba wanabeba smg na risasi zinauzwa sokoni kama njugu ,ajabu husikii mapigano ya kipumbavu au mtu kapigwa risasi ,wala mambo ya ujambazi sijui kateka au katekwa ,huyasikii .
Je binadamu wa nchi hizo wanaheshimiana na kila mtu na lake ,wale wa "dont touch me"
Je inawezekana Tanzania watu wakaruhusiwa kila anaetaka kubeba silaha na abebe. Au akili zetu hazipo sawa ?
😂😁Ningefanya hivyo lakini watoto wakali wa JF watasononeka na kufa kwa msongo wa mawazo. Hii ID huwapa faraja walio taabuni.Udelete account ya jf
Niko tayari kuwa zawadi yenyewe.Ikawa zawadi ni mchangiaji mwenyewe
U likeNiko tayari kuwa zawadi yenyewe.
Yeah 😂U like