Mark Msue
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,293
- 12,249
Haya uncle UosofiaMkifika kwenye kujadili pinde na mishale mniamshe
Haya uncle UosofiaMkifika kwenye kujadili pinde na mishale mniamshe
mawazo ya kijinga au unataka kusema itahatrisha usalama wa nchi ? convergent thoughts.Tukufundishe ili ukatumie wapi,hapana bwana hii thread OVYO
Mkuu hizo ni silaha za kivita na huwa zinahodhiwa na majeshi tu.We unamiliki ipi mkuu kati ya hizo.
correction, AK = Avtomat KalashnikovSMG maana yake ni Sub Machine Gun.
Zipo SMG aina nyingi sana na zinakuwa categorized na ile rate of fire, yaani idadi ya risasi zinazotemwa kwa dakika.
AK47 ni aina moja tu kati ya aina nyingi za SMG.
AK47(Mikhail Klasnikov) ni kifupi cha mgunduzi Mrusi wa silaha hii aliyeigundua mwaka 1947.
Smg sio single shot pekee bali ina combination ya single na mfululizoSmg ni single shot whilst Ak47 ni mjegejo
Acha uongo, hakuna SMG unayoweza kupiga risasi 400 hadi 800 kwa dakikaMkuu hizo ni silaha za kivita na huwa zinahodhiwa na majeshi tu.
Hata ukipata SMG hutoweza kuwa na ubavu wa kulishia risasi zake maana zinaweza kupiga risasi 400 hadi 800 kwa dakika.
Mkuu, kitu kikubwa kinachotofautisha SMG na silaha kama rifle au shot gun ni kwamba lazima ziwe na kikasha(magazine) cha kutunzia risasisasa ipi ni hatari zaidi kati ya hizi mbili na je utawezaje kizitofautisha kwa macho? kwa sababu nikiangaliaga zikioneshwa kwenye tvs mm naona kama ni kitu kle kile ebu nitoe tongo tongo mkuu
Mkuu hizo ni silaha za kivita na huwa zinahodhiwa na majeshi tu.
Hata ukipata SMG hutoweza kuwa na ubavu wa kulishia risasi zake maana zinaweza kupiga risasi 400 hadi 800 kwa dakika.
Hapo mkuu hujatoa tofauti ya SMG na AK47, kwenye sms umeelezea kirefu chake tu na kwenye Ak 47 umetaja jina la mgunduziSMG maana yake ni Sub Machine Gun.
Zipo SMG aina nyingi sana na zinakuwa categorized na ile rate of fire, yaani idadi ya risasi zinazotemwa kwa dakika.
AK47 ni aina moja tu kati ya aina nyingi za SMG.
AK47(Mikhail Klasnikov) ni kifupi cha mgunduzi Mrusi wa silaha hii aliyeigundua mwaka 1947.
Mkuu, kitu kikubwa kinachotofautisha SMG na silaha kama rifle au shot gun ni kwamba lazima ziwe na kikasha(magazine) cha kutunzia risasi
Magazine inaweza kutunza risasi 30 hadi 100 kulingana na aina ya SMG.
Hata hivyo silaha ya askari mmoja mmoja iliyotia fora katika matumizi kote duniani ni AK47.
Silaha hii ndio imetengenezwa kwa wingi zaidi duniani na teknologia yake ni rahisi na matumizi yake hayampi shida sana mtumiaji, yaani askari.
Ni nyepesi katika uzito ,na ngumu kuharibika, iwe kwenye mvua, baridi,joto au tope.
Hakuna Smg inayotumia mkanda, labda uwe umechanganya na LMGKwa kutumia magazine ipi mkuu? Ni hii yenye 30 capacity au zile mg za mkanda?
Hapo mkuu hujatoa tofauti ya SMG na AK47, kwenye sms umeelezea kirefu chake tu na kwenye Ak 47 umetaja jina la mgunduzi
Navyojua mm tofauti ya silaha ni uwezo wa kupakia risasi kwenye magazine, uzito wa silaha yenyewe (zikiwa na risasi na zikiwa empty), umbali wa kupiga risasi, nk
Hakuna Smg inayotumia mkanda, labda uwe umechanganya na LMG
Yeah hizi sasa ndio tofauti zakeTofauti zake c nyingi ila zina matter sana. Chache ninazokumbuka caliblre 7.62mm zote, bullet distance ni 3.8km (in vaccum), etc ila kinachotofatisha ni km huyo jamaa kasema combart rate, mg capacity, yom, country of manuf etc
Hizi silaha pengine huzijui au wala hukupitia JKT.Acha uongo, hakuna SMG unayoweza kupiga risasi 400 hadi 800 kwa dakika
Kwanza magazine 1 inapakia risasi 30 ili upige risasi 300 tu inakubidi uwe na magazine kumi tena ziwe na risasi kabisa yani uwe unabadilisha magazine tu
Tukufundishe ili ukatumie wapi,hapana bwana hii thread OVYO
Kwa magazine moja kupakia risasi 100 siwezi kubisha, kwanza SMG zipo aina nyingi sana ila kutumia mkanda ndio nafikiri hakuna smg ya hivyoNimeuliza mkuu! Coz kwenye ballistics sijasoma sehem pana smg yenye inabeba risasi 100 in a single mg
Hizi silaha pengine huzijui au wala hukupitia JKT.
Categorization ya hizo silaha pamoja na kutumia magazine ya risasi 30 hadi 50 ninile kitubinsitwa cyclic rate of fire.
AK 47 ina cyclic rate of fire hadi 600rounds per minute.
Kuna ya Kijerumani ni balaa, hadi 1200rds/min.
View attachment 491232
AK47
Cyclic rate of fire:
600 rds/min[7]
Combat rate of fire:
Semi-auto 40 rds/min[7]
Bursts 100 rds/min[7]
Kwa magazine moja kupakia risasi 100 siwezi kubisha, kwanza SMG zipo aina nyingi sana ila kutumia mkanda ndio nafikiri hakuna smg ya hivyo
Kwanza smg sio kwamba ndio silaha nzuri sana hapana ila urahisi wa ubebaji pia sio nzito rahisi kutumia nk ndomana inatumika sana
Mfano LMG ile ndio inatumia mkanda lakini ubebaji mgumu kwanza nzito utumiaji mgumu ila ukiweka stendi na ushaseti mkanda wako hakuna anayesogea