Jarren Jackson
Member
- Jun 11, 2020
- 44
- 61
kweli ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia??Two options, OA au Uolewe...that's it!
Asante kwa ushauri wakoKazi nzuri ni kazi gani kaka
Kwa umri huo usijichoshe ww danga kwanza mpaka ukue
Thanx bro kumbe tupo wengi wenye mtazamo kama huuHamna faida ya kuoa utafugaje binadamu kula bata
sawaHamna faida mkuu
Kutokana na ulichopost!kweli ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia??
Kiroho ina thamani kubwa sana,ni moja ya sakramenti/nguzo ambazo binadamu lazima uzipitie na ina Baraka zake duniani na mbinguni pia...Habari wakuu
Mimi ni kijana niliyefikisha umri wa kuoa Nina 27 kwa sasa, ni kwamba familia na jamii inayonizunguka naona wananisisitiza sana nioe eti kwakuwa Nina kazi nzuri na ninajimudu kimaisha. Lakini kwa mtazamo wangu sioni ka kuna ulazima katika hili ukizingatia chochote ninachokitaka naweza kukipata kwa wakati kwa sasa, asa kwanini nijibebeshe mzigo
Naombeni ushauri zaidi wadau katika hili huenda naweza shawishika nikabadili mtizamo wangu
Kweli kabisa.Hizo starehe unazopata nje zisikuponze, usipooa nguvu zikipungua hutakua na wa kukukokea moto
Khaaa!!!!.Two options, OA au Uolewe...that's it!